Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Mzee baba kwa uongo Jf unafaa trophy,Mbona kwangu mimi kilakitu kipo sawa..!![emoji848][emoji848]
Bila internet mawasiliano inakuaga shida Tena Kwa kizazi cha Sasa, sms na call ukizitumia unaweza jibiwa kesho au usijibiwe kabisaBado
Kuingia kwenye account ya Google haikubali sababu Google+ ni social network kwa hiyo unagoogle tu Ila kuingia hata Gmail hauwezi na VPN no, ni haramu halafu sipendi kuweka app ya nje ya playstore zinakuaga na mianya kwa wahalifu wa mitandao kuingia kupitia huo mwanyaGoogle services zinafanya kazi kwangu sijui kwa wengine. Ila Youtube bado sipati.
Tuma neno Maandamano tuone kama msg utaenda....Mbona kwangu mimi kilakitu kipo sawa..!![emoji848][emoji848]
Tusubiri mpaka tar 11 labdaGoogle service haifanyi kazi pamoja na sms international and hazifiki, Sasa Mimi mawasiliano yangu ni Kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu, niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.
Kama nipo gizani.
Google service haifanyi kazi pamoja na sms international and hazifiki, Sasa Mimi mawasiliano yangu ni Kwa internet, kutumia sms au call siwezi na namba za simu hazifiki Tatu, niliformat simu halafu kwenye laini nilisave namba 1 tu, hapa hata kuingia play store siwezi.
Kama nipo gizani.
Gmail napata bila VPNKuingia kwenye account ya Google haikubali sababu Google+ ni social network kwahiyo unagoogle tu Ila kuingia hata Gmail hauwezi na vpn no, ni haramu halafu sipendi kuweka app ya nje ya playstore zinakuaga na mianya kwa wahalifu wa mitandao kuingia kupitia huo mwanya
Haifunguki hata kuiunga na play store inagomaGmail napata bila VPN
Waliachia kama dakika moja tu halafu wakakata tenaMbona nasikia wameachia tayari
Taarifa ndio muhimu hata wakisema January POA, ila watoe taarifa maana michongo yote inasimama mpaka irudiHadi tareh 11
Yeah, watoe taarifa tujueTaarifa ndio muhimu hata wakisema January POA, ila watoe taarifa maana michongo yote inasimama mpaka irudi