Lini Tulia Ackson alikuwa mwana CCM, na je lini Vicent Mashinji alikuwa mwana CHADEMA?

Daah!! Siasa hizi Chadema ndiyo watakatifu.

Teh teh teh!
Mkuu Ritz ingependeza ukitoa hongera kwa Chadema kumpata Katibu Mkuu mwenye elimu ya juu sana Mara elfu moja ya yule muuaji wa tembo, yule aliyeiba machine ya kufulia mashuka hospitali ya Arusha
 
Ni ukosefu wa uelewa tuu kushangaa kwa nini watu walikuwa wanahoji Tulia alikuwa lini mwanachama wa CCM? Sababu kuu ilikuwa kutaka kujua kuwa jee pamoja na kuwa naibu mwanasheria mkuu kumbe alikuwa anakitumikia chama cha mapinduzi kinyume na masharti ya ajira yake? Ni sawa na Masaju leo agombee nafasi ndani ya ccm akiwa bado kazini.
Hivyo mfano wako ni irrelevant.
 
Hilo la Dr. Tulia Ackson liliulizwa sana na wana wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wakati rais anamteua kuwa Mbunge na baadaye kugombea nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

CV ya Vicent Mashinji nimeipitia kama ilivyowasilishwa na Yeriko Nyerere humu jukwaani, sijaona utumishi wake wa kutoka ndani ya Chama kutosheleza kushika nafasi nyeti kabisa ya Katibu Mkuu wa Chama.

Tutambue kuwa Katibu Mkuu ni zaidi ya mgombea urais, huyu mjenzi wa chama, sioni tatizo kwa Lowassa kutoka tu CCM na kwenda kugombea urais au Juma duni haji kununuliwa kwenda kuwa mgombea mwenza wa Lowassa. Hawa walikuwa na malengo yao na wale waliowakaribisha nao malengo yao yalitimia.

Katibu Mkuu anatakiwa kwanza awe anakijua chama vizuri kabla ya kutoka nje ya Chama. Kwanini hakuwa Mnyika, Mwalimu, Lissu, Antony Komu, Mrema n.k?
Lini Mashinji alikuwa CHADEMA?
Siasa siasani
 
Wote mnaobweka humu, nani alimjua Mashinji. Si siku zote mlikuwa mnawapamba akina Lissu, Mnyika, Msigwa, Lema na wengine kama hao? Mtaongozwa sana na NJUKA mpaka mtashika adabu. Lissu na kundi lake sasa wanajiona hovyo kabisa.
 
Team 46 FISIEM walikuwa wameshaandaa Nyaraka zao kwenye word document kabisa zenye tuhuma nzito kwa watu waliokuwa wamedanganywa kuwa ndio watateuliwa.

Yaani ilikuwa ni ku copy na ku paste JF kutoa shutuma na tuhuma kwa wale waliokuwa wanafiria watakuwa /teuliwa kuwa GS.

Sasa wametahayari,wamepigwa chenga ya Mwili,wana waya waya.
Mbowe hapa amecheza kama Messi na Ronaldo kwa wakati mmoja.

Team FISIEM 46 wamebaki kutoa tuhuma nyepesi na za Kipuuzi kama ifuatavyo.

1. Dr Mashinji mara mtu wa TISS.
2. Alikuwa Champion wa Mogomo.
3. Mara hajawahi kuwa Mwana Chama wa CHADEMA.
4. Mara hana Mchango CHADEMA

My take

Team FISIEM 46 tunaomba basi nyie mseme mlimtaka nani awe Katibu Mkuu wa CHADEMA ?????
Si mtuambie lini alikuwa mwana Chadema, na kadi yake ni namba ngapi na mchango wake kwa chama ni upi?
 
Wote mnaobweka humu, nani alimjua Mashinji. Si siku zote mlikuwa mnawapamba akina Lissu, Mnyika, Msigwa, Lema na wengine kama hao? Mtaongozwa sana na NJUKA mpaka mtashika adabu. Lissu na kundi lake sasa wanajiona hovyo kabisa.
Huna hoja, hayakuhusu!
 
Mkuu, tumeizika rasmi ajenda yenu ya Kaskazini sasa mnajiumauma tu! Naona uliandaa mashambulizi kwa Sumaye sasa limebuma! Haya nendeni mkatumbuane huko!!

Uteuzi wa Mashingi hakuwezi kuzika agenda ya ukaskazini hata kidogo, ameteuliwa kupambana na nguvu ya Magufuli Kanda ya ziwa. Ni bahati mbaya kabisa hafahamiki na kwa Ukabila uliioneshwa na Kanda ya kaskazini kwa idadi ya kura wakati wa uchaguzi, hakika nakuhakikishia Kanda ya ziwa hawatadanganyika na janja hiyo. Kwenye daladala, vijiweni, kwenye baa ukiona mtu hamkubali Magufuli ujue huyo ni Mchagga au anatoka kaskazini. Hiyo ni dhambi mbaya sana ya ubaguzi ambayo watanzania hawawezi kudanganyika na uteuzi wa Mshingi kutoka Kanda ya ziwa, ikibidi tutaeneza injili ya kumuita msaliti mapema sana.
 
Wote mnaobweka humu, nani alimjua Mashinji. Si siku zote mlikuwa mnawapamba akina Lissu, Mnyika, Msigwa, Lema na wengine kama hao? Mtaongozwa sana na NJUKA mpaka mtashika adabu. Lissu na kundi lake sasa wanajiona hovyo kabisa.
Wakongwe wenzako wa Buku 7 FC kama Ritz , Lizaboni ,Simiyu Yetu FaizaFoxy na Wakuu wenu akina MwanaDiwani wameona bora kukaa kimya kuliko kuja na Propaganda mfu kama hizi.
Unajitia aibu Mkuu.
Hii kazi achia wale Team 46 FISIEM kama akina Barbarosa na wenzake
 
Katiba ya chama inataka nin kama sifa ya kuwa katibu mkuu?usilete ngonjera hapa na maneno ya kanga!
 
Sifungamani na hao unaowaita wakongwe wa Buku 7, mimi kama mimi nimeutazama uteuzi huu kwa jicho la tatu, lazima tuandike ili kuifungua milango ya fahamu ya wengine ili kujadili.
 
Sifungamani na hao unaowaita wakongwe wa Buku 7, mimi kama mimi nimeutazama uteuzi huu kwa jicho la tatu, lazima tuandike ili kuifungua milango ya fahamu ya wengine ili kujadili.
Nna uhakika huwezi kulipwa Kumumba kwa kuandika Shallow kiasi hiki
 
Dah! Leo nimeelewa ni kwa nini kama taifa tumekwamia hapa tulipo!! Yaani wanasiasa wanaoingoza nchi wanatokana na CCM ambao hawajui tofauti kati ya Mwanasheria wa Serikali na Daktari anayefanya kazi kwenye Hospitali ya serikali. Kuna mmoja anaitwa kabisa "wa serikali" mwingine "anayefanya kazi kwenye Hospitali ya Serikali" mfanano wao uko wapi hapo?
 
Katiba ya chama inataka nin kama sifa ya kuwa katibu mkuu?usilete ngonjera hapa na maneno ya kanga!
Juzi Lissu alisema, Katibu Mkuu lazima awe mtu wa kusema na watanzania wakamuelewa. Mashinji hana sifa hiyo hata chembe moja. Nyie wenyewe Chadema achilia mbali watanzania wengine mlikuwa mnamjua? Mtamuelewaje mtu msiyemjua?
 
Dah! Leo nimeelewa ni kwa nini kama taifa tumekwamia hapa tulipo!! Yaani wanasiasa wanaoingoza nchi wanatokana na CCM ambao hawajui tofauti kati ya Mwanasheria wa Serikali na Daktari anayefanya kazi kwenye Hospitali ya serikali. Kuna mmoja anaitwa kabisa "wa serikali" mwingine "anayefanya kazi kwenye Hospitali ya Serikali" mfanano wao uko wapi hapo?
Wewe ni mbumbumbu. Kasome vizuri Waraka wa Utumishi wa umma, Mwanasheria wa Serikali na mtumishi mwingine wa Umma wana waraka tofauti?
 
Wewe ni mbumbumbu. Kasome vizuri Waraka wa Utumishi wa umma, Mwanasheria wa Serikali na mtumishi mwingine wa Umma wana waraka tofauti?
Nimeusoma na nimeuelewa. Kwa taarifa yako hapa Iringa Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa ni Yahya Msigwa Daktari wa Hospitali ya MKoa wa Iringa anayehudumia wakina mama!!
 
Nna uhakika huwezi kulipwa Kumumba kwa kuandika Shallow kiasi hiki
Nyumbu huwezi kuelewa nilichokiandika. Kwani members wa jf wanalipwa wanapoandika mada humu? Wewe nani anakulipa? Bora ungekaa kimya tu.
 
Nawasikitikia makala zao walikuwa wameshaziandika za kumchambua sumaye mnyika lissu na ukaskazini na kwa sasa wamebaki wanazisima wenyewe na kuambiana hii ingekuwa balaa
Sasa kamanda wa anga kabadilisha gia wote chaliiiiii
 
Back
Top Bottom