TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Hilo la Dr. Tulia Ackson liliulizwa sana na wana wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wakati rais anamteua kuwa Mbunge na baadaye kugombea nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
CV ya Vicent Mashinji nimeipitia kama ilivyowasilishwa na Yeriko Nyerere humu jukwaani, sijaona utumishi wake wa kutoka ndani ya Chama kutosheleza kushika nafasi nyeti kabisa ya Katibu Mkuu wa Chama.
Tutambue kuwa Katibu Mkuu ni zaidi ya mgombea urais, huyu mjenzi wa chama, sioni tatizo kwa Lowassa kutoka tu CCM na kwenda kugombea urais au Juma duni haji kununuliwa kwenda kuwa mgombea mwenza wa Lowassa. Hawa walikuwa na malengo yao na wale waliowakaribisha nao malengo yao yalitimia.
Katibu Mkuu anatakiwa kwanza awe anakijua chama vizuri kabla ya kutoka nje ya Chama. Kwanini hakuwa Mnyika, Mwalimu, Lissu, Antony Komu, Mrema n.k?
Lini Mashinji alikuwa CHADEMA?