Wadau heshima kwenu.
Nimeona kuanzia jana JF premier members wamebandikiwa kinishani fulani hivi cha bluu afu kama vile nakatamani! Maana mambo yangu ni "bluu bluu". Napataje kuwa JF Premium Member? Anayejua anitonye.
Kwani watoa nishani hawahongeki? Mi mtanzania bana niliyelelewa na CCM. Napenda fasta fasta, kama vipi niitinge leo. Mtoa nishani ajitokeze nimdalishe tip anisusie hiyo nishani.