V Vonix JF-Expert Member Apr 23, 2011 2,881 1,436 Jan 6, 2013 #3 Ningelikata baada kuona muundo wa tunda lenyewe unafanana na umbile na uume.matunda mengine bana!
englibertm JF-Expert Member May 1, 2009 9,252 6,207 Jan 6, 2013 Thread starter #4 harafu unakuta watoto wa mtaa mzima wamekusanyika kwako kuona tunda.
SuperImpressor JF-Expert Member Oct 17, 2012 1,504 646 Jan 6, 2013 #5 Sasa huyo bibi naye anafurahia nini mpaka nimejua kwamba ana mapengo
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,688 1,282 Jan 6, 2013 #7 SuperImpressor said: Sasa huyo bibi naye anafurahia nini mpaka nimejua kwamba ana mapengo Click to expand... Anakumbuka ya babu!!
SuperImpressor said: Sasa huyo bibi naye anafurahia nini mpaka nimejua kwamba ana mapengo Click to expand... Anakumbuka ya babu!!
sakapal JF-Expert Member Apr 11, 2011 1,804 1,424 Jan 8, 2013 #10 ningekuwa sina upungufu wa vitamin na wala nisingehitaji kufanya diet na mazoezi, maana hilo tunda ni diet na mazoezi tosha.
ningekuwa sina upungufu wa vitamin na wala nisingehitaji kufanya diet na mazoezi, maana hilo tunda ni diet na mazoezi tosha.
I Ibrahim Mussa Member Jan 4, 2013 6 1 Jan 9, 2013 #11 Kunta Kinte said: Anakumbuka ya babu!! Click to expand... Babu yupi kati ya hawa wawili? : Babu Asprin au Dark City!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kunta Kinte said: Anakumbuka ya babu!! Click to expand... Babu yupi kati ya hawa wawili? : Babu Asprin au Dark City!!
Chum Chang JF-Expert Member Apr 2, 2012 999 272 Jan 9, 2013 #13 Bibi anakumbuka enzi zile za kipindi kile