lingekuwa kwenye bustani yako ungefanyeje?

Ningelikata baada kuona muundo wa tunda lenyewe unafanana na umbile na uume.matunda mengine bana!
 
harafu unakuta watoto wa mtaa mzima wamekusanyika kwako kuona tunda.
 
ningekuwa sina upungufu wa vitamin na wala nisingehitaji kufanya diet na mazoezi, maana hilo tunda ni diet na mazoezi tosha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom