Uzalendo kwanza
Member
- Aug 12, 2015
- 56
- 23
Hapa ni picha mbili za wakati Ukawa wakimtambulisha mgombea wao Lowasa, Mbeya mjini na picha nyingine ni za ccm kwenye mkutano wao mkuu wa kampeni wa magufuli na wasanii yapi ni maoni yako?
Kesho watajaa anzia posta had magomen elhal lowasa atakua jangwan.HV wafanye mpango wa projector kabsa Uhuru heigts pale,mnazi mmoja, gapco magomen na hata Biafra maana jiji litazzma
Hivyi huku hakuna kura za maoni ya kipinajoto?
Shida yetu watz tunashindwa kutofautisha magufuli anaenda kila wilaya lakini lowassa walosombwa iringa njombe rukwa na wilaya zote za mbeya... acheni kujitekenya na kucheka wenyewe kama uhakika upo kwanini mna mashaka... oct 25 ndo kila kitu... tuache kuigiza
Nani kakudanganya? Gari zilikuwa zinasomba watu toka Iringa, Njombe, Songea na Mbeya wilaya zote kwenda kumsikiliza LOWASA. Hebu punguzeni MAHABA ya kijinga kwa mamvi.Alafu hao wa CCM wamezolewa na Malori, na wa UKAWA wameenda wanyewe.
Shida yetu watz tunashindwa kutofautisha magufuli anaenda kila wilaya lakini lowassa walosombwa iringa njombe rukwa na wilaya zote za mbeya... acheni kujitekenya na kucheka wenyewe kama uhakika upo kwanini mna mashaka... oct 25 ndo kila kitu... tuache kuigiza
Hapa ni picha mbili za wakati Ukawa wakimtambulisha mgombea wao Lowasa, Mbeya mjini na picha nyingine ni za ccm kwenye mkutano wao mkuu wa kampeni wa magufuli na wasanii yapi ni maoni yako?
We mbugila kweli mbona picha za ccm zimekatwa na kuwekwa vipande?
Hapa ni picha mbili za wakati Ukawa wakimtambulisha mgombea wao Lowasa, Mbeya mjini na picha nyingine ni za ccm kwenye mkutano wao mkuu wa kampeni wa magufuli na wasanii yapi ni
Hivi fikiria kama watu wa kyela...tunduma...mbalizi...chunya nao wangekuja hapo ccm ingekuqaje? Umati si ungefika soweto?
Hivi unajua kwamba...uwanja wa ccm mbeya na mbalizi ni km 10 apart? Lakini kwote huko magufuli alijaza watu.
Unajua kwamba watu wa mkutano wa lowasa mbeya mjini walitoka kuanzia tunduma...njombe...makambako...kyela....na mbeya yote?
Nyie endeleenI kujidanganya.
Sisi wengine hatudanganyiki na mihemko yenu
Tunachojua hapa kazi tu...mbwembwe kwa lowasa...
Octaber 25 rais ni magufuli
Na kwa kujidanganya kwenu hadi mnajiamini
.tunajua kitakachofuatia ni kile kile
TUMEIBIWA KURA