Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 607
duh huyu mchizi kwete bonge la msaniii na nyerere bonge la serious worker
jk was the leader bt jm is only the manager:
Ni kweli kipindi cha nyerere uchumi wetu ulikuwa juu kuliko hata wa US na ulaya ila alipoondoka ndo tu tukawa miongoni mwa nchi masikini kabisa, AIBU! Please write a sense things
duh huyu mchizi kwete bonge la msaniii na nyerere bonge la serious worker
jk was the leader bt jm is only the manager:
Ni kweli kipindi cha
nyerere uchumi wetu ulikuwa juu kuliko hata wa US na ulaya ila
alipoondoka ndo tu tukawa miongoni mwa nchi masikini kabisa, AIBU!
Please write a sense things
Kaka kulinganganisha mlima na kichuguu, Tembo na Sisimizi ni sawa na kumlinganisha Dr. Slaa na Emmanuel Nchimbi.......Utakuwa hujamtendea haki. Siku nyingine jaribu kulinganisha Nyerere na wazee wenzake kama Mandera, Kwame Nkuruma, S. Toure na wengineo siyo Ze Commedy na majembe ya kweli. Anyway wenye macho huona wenyewe.Tafadhali linganisheni picha hizi hapa zikimuonesha JK Nyerere na JM Kikwete na kisha tathmini mwenyewe