Linganisha Picha Hizi: JK Nyerere vs. JM Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Linganisha Picha Hizi: JK Nyerere vs. JM Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nsololi, Aug 18, 2010.

 1. N

  Nsololi JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Tafadhali linganisheni picha hizi hapa zikimuonesha JK Nyerere na JM Kikwete na kisha tathmini mwenyewe
   

  Attached Files:

 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Moja inaonyesha uongozi wa mifano na vitendo -- na wa pili unaonyesha utawala wa starehe na usanii!
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The difference is clear! Mmoja alikuwa serious na wa pili ni Ze Comedy Original!
   
 4. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mwalimu aliongoza watu kwa vitendo, kwa kuhimiza kazi. Jamaa yeye anahimiza michezo na ngoma hata kipya
   
 5. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  duh huyu mchizi kwete bonge la msaniii na nyerere bonge la serious worker
  jk was the leader bt jm is only the manager:
   
 6. m

  masasi Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jk bana,utani utani tu,
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Wanaoliona hilo ni wachache mno
   
 8. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majungu tu hakuna jipya hapa.....huyo mnayemsifia alifikisha nchi wapi? acheni ushabiki.....uozo mwingi...rushwa, sera za uwongo nk vilitokea kwake......
  mix with yours
   
 9. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nyerere alikuwa kiongozi jasiri na shupavu asiyeogopa kusema.
   
 10. e

  echonza Senior Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajua hata baba wa familia msanii ni rahisi watoto kujua aha, baba pale alikuwa anazuga tu, na aliyemakini siku zote watajua, pale baba kweli alikuwa amekasirika. Inabidi tujirekebishe. Hahaha, J. Kikwete na Tanzania yetu. Haya bwana. Wengine wanasema hivi na wengine vile, basi ilimradi maisha tu yanasonga mbele. Lakini ukweli ni kwamba tuwe serious inapotokea kuwajibika katika masuala ya msingi. Picha hii, inanikumbusha mengi ambayo mwaka huu na uliopita nilishuhudia misemo na matendo ya kisanii kutoka kwa J. Kikwete. Hiyo ndiyo tofauti siku zote.
   
 11. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  haaa haaa........lakini labda umri una matter pia, Nyerere alikuwa bado 'yanki', wakati JK sasa ni 'mzee'
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Waliokulia katika raha on expense of others utawajua tuu. Mkuu this time ni wakati wa ukambozi tu.
  Mix mwenyewe utakua outcome.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  huku MS aka JEYKEY hatokei........ameng'ang'ana kwenye yale mathread yake ya kiK*** tu kule!!
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Anastahili kuitwa Baba au Mwenye heri.
   
 15. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Masasi umenivunja mbavu, leo nilikuwa sijacheka siku nzima. Lakini huo ndiyo ukweli wa huyu msanii wetu.
  Inabidi waTZ tuchukue maamuzi magumu come Octoba 31
   
 16. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KWELI WANALINGANA.....kama ni miti wote wamepanda......kama ni kushirikiana wote wameshirikiana........! ibeg to say.......GOOD COMPARISON...!
   
 17. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #17
  Aug 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mmoja legelege, mmoja shupavu
  mmoja mkali, mwingine laini laini
  mmoja laiishi kwa namna alivyo hubiri , mwingine anaishi kisanii
   
 18. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  moja ya mwanamuziki wa reggae (nyerere)
  nyingine ya mwanamuziki wa taarabu & segere( kikwete)
   
 19. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijakulia katika raha ....acha kugesi mambo! mimi ndivyo nionavyo hakuna jipya hapo....na nitasimami hilo bila kubadilika kwani ndio ninachoamini.....ushabiki utawaumiza sana...kwa kukusaidia tu usidhani kukulia kwenye umaskini maana yake ni kuweza kuwa na fikra za kikombozi ...viongozi wengi mafisadi wala hawajatokea familia za kitajiri..waliofilisi mashirika ya umma baada ya uhuru ni wazi hawakutoka katika familia matajiri....
  Ukombozi si suala la chama au kundi fulani....usihodhi dhana ya ukombozi...ukombozi ni wetu sote wenye nia njema na nchi hii acheni kufikiria kuwa ukombozi ni kazi ya kundi fulani tu sikweli hata mimi ni part ya ukombozi...hakuna anayemiliki ukombozi
  mix with yours
   
 20. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  RIP mwalimu Nyerere daima nitakukumbuka mwaka 1998 pale Mwitongo nikiwa bado kijana nilikutembela na tukashiriki shughuli za kilimo pamoja kwenye shamba lako japo afya yako ilikuwa imeanza kudhoofika lakini ulinihimiza nifanye kazi kwa bidii kwani kazi ndo msingi wa haki, mbele ya mungu wangu nikikumbuka maneno hayo machozi yananitoka hasa kwa usanii unaoendelea hapa tanzania kwa wakati huu, mwalimu nyerere ulale kwa amani, uliowakataa hapo awali leo ndo viongozi wetu, pumzika mwalimu.
   
Loading...