Line za wakala zinapatikana ni mpya

Line za wakala zinapatikana ni mpya

Nommy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
448
Reaction score
27
Tigo pesa 270k
Mpesa 170k
Airtel 120k

Utapata na logbook zake zikiwa mpya pia .

0712191251.

Blessed.
 
Tigo pesa nina 150K M Pesa nina 100K. Nije kuchukua?
 
yes andaa tin number' lessen ya biashara ' na copy ya kitambulisho tu

namanisha hizo unazouza zinawezekana kuwa kwenye jina langu? Yani labda kuna proces ya kubadilisha ikawa ktk jina langu?
 
Nakushauri usikubali kupewa bila ya jina lako utalia mwisho wa siku
 
namanisha hizo unazouza zinawezekana kuwa kwenye jina langu? Yani labda kuna proces ya kubadilisha ikawa ktk jina langu?

ndio nilichokinaanisha unatakiwa uwe na vitu hvyo hapo juu ili uwez kupta kwa jina lako coz line ni mpya hazijatumika kwa maelez zaid nichek kwa hyo number upte maelekezo
 
Hivi line mpya za uwakala zinauzwa!?:what::what:
 
kumbe ni bure kila mwanakijiji angekuwa na yake

bora umempa jibu zuri ...line za wap bure? mm binafsi toka nimeambiw nisubr huko shop two months now mpk nimeamua kuchukua tu kwa watu ..hlf lzm uwe na mtaji mrefu bado usumbuliwe tena ....
 
hata mi nimenuna za watu unajaza fom ungoja miez 6mmmh
 
njoo makao makuu ya airtel unapata line yako ndani ya siku moja kwa jina lako kwa Tsh.80,000/= tu. Usisahau kuja na leseni, tin number na kitambulisho. Onyo usitoe hela mpaka uhakikishe line yako inafanya kazi kwa jina lako.
 
bora umempa jibu zuri ...line za wap bure? mm binafsi toka nimeambiw nisubr huko shop two months now mpk nimeamua kuchukua tu kwa watu ..hlf lzm uwe na mtaji mrefu bado usumbuliwe tena ....

Nenda kwa voda shop na lesseni, TIN number na kitambulisho.. Afu uje utoe mshindo nyuma hapa mbele ya kadamnasi hii..
 
tigo 270
mpesa 170
airtel 120

kribun 0712191251
 
njoo makao makuu ya airtel unapata line yako ndani ya siku moja kwa jina lako kwa Tsh.80,000/= tu. Usisahau kuja na leseni, tin number na kitambulisho. Onyo usitoe hela mpaka uhakikishe line yako inafanya kazi kwa jina lako.

kazi unayo
 
Back
Top Bottom