Line za wakala zinapatikana ni mpya

Line za wakala zinapatikana ni mpya

Nenda kwa voda shop na lesseni, TIN number na kitambulisho.. Afu uje utoe mshindo nyuma hapa mbele ya kadamnasi hii..

pole kwa kuelekeza mana naona umekazana wakat hayo yote yanajulikana ...kazi ipo
 
Nenda kwa voda shop na lesseni, TIN number na kitambulisho.. Afu uje utoe mshindo nyuma hapa mbele ya kadamnasi hii..

hayo yote mm nayajua nanimeshayapitia hizo shop zote nilienda nikajaza form nimesubr huu mwez wa tatu bila mafanikio nikaamua kuchukua kwa dellers naendelea na kazi ..so hayo ya lessen bra bra ysnajulikana yote .. anyway tusimjazie mwenzetu msg kweny tangazo lake coz inakuw si ustaharabu ...
 
Huyu sister nommy namkubali coz kuna jamaa angu kanunua inapga kazi vizuri, ila hyo bei iko juu tgo 150 nikupe mpesa ntajarb ktafta kwa jna langu
 
Pole!
Uko wapi? Ulipeleka wapi document zako (shop gani ulijazia )
Kama hutojali ni PM jina lako uliloombea!
 
Huyu sister nommy namkubali coz kuna jamaa angu kanunua inapga kazi vizuri, ila hyo bei iko juu tgo 150 nikupe mpesa ntajarb ktafta kwa jna langu
Tatizo siyo kupiga kazi je amepata hizo line kwa majina yake? sasa subiri hizo line zipotee au ziibiwe uone balaa lake kuzirudisha.
 
embu acha kunijazia msg zako zisizo umuhim kwangu si anzisha thread yako basi wangap washapoteza hzo line na wamenitafta nimewasaidia no research no conclusion team yangu naiamini an am in this business for a sometime... kama unauza na ww kitu tell people wachague wenyw an not othereise ..
 
Huyu sister nommy namkubali coz kuna jamaa angu kanunua inapga kazi vizuri, ila hyo bei iko juu tgo 150 nikupe mpesa ntajarb ktafta kwa jna langu

just leave him dear tujiandae na uchaguz kesho mwache abishane na maneno
 
embu acha kunijazia msg zako zisizo umuhim kwangu si anzisha thread yako basi wangap washapoteza hzo line na wamenitafta nimewasaidia no research no conclusion team yangu naiamini an am in this business for a sometime... kama unauza na ww kitu tell people wachague wenyw an not othereise ..
Haya we mwenye kujua kusoma atakuwa amenielewa ila mwisho wa siku maamuzi ni ya mtoa hela sababu hata siku utakayokuja kumliza me sitakuwepo.
 
Tigo pesa 270k
Mpesa 170k
Airtel 120k
 
Msidanganyike mkanunua line ya mpesa ama Airtel money kwa majina ya watu. Voda na Airtel huwa hawana utaratibu wa kubadilisha majina ya usajili wa line zao. Tigo inawezekana lkn kwa mbinde na gharama kubwa.
 
Tigo pesa 270k
Mpesa 170k
Airtel 120k

karibuni
 
huyo jamaa hapo juu lazima katumwa sibure ..au anatafuta kick za jamii si kawaida
 
hhahaa achanen nae is wasting his own time...blessed ol
 
huyo jamaa hapo juu lazima katumwa sibure ..au anatafuta kick za jamii si kawaida

ushauri:kabla hujanunua line kwa mtu uliza ktk ofisi za mitandao husika kama kuna uwezekano wa kubadilisha majina ya umiliki. otherwise
 
Kwa walio moshi ww tuletee tin, leseni ya biashara na kitambulisho tutakupa lain buree Boisafi shopping centre ndo ofc zetu
 
Back
Top Bottom