Line za M-pesa na tigo pesa zinapatikana

Line za M-pesa na tigo pesa zinapatikana

hizi line huwa zinatolewaa bure ukifika office hasa za voda ila fika na TIN na leseni ya biashara... na kwa wauzaji hapo hapo ofisini wana uza kuanzia 100000/- mpaka 150000/-

ni bora kufika ofisini na ukauliza maswali mengi zaidi ya kujilidhisha au kukutana na mtu barabarani, uchaguzi ni wetu...

Cheers
mm naomba kuuliza hivi TIN number ni bure au ni mpaka pesa???
kama kuna wajuz mtupe utaratibu wa kufuata tupate hiyo TIN
 
mm naomba kuuliza hivi TIN number ni bure au ni mpaka pesa???
kama kuna wajuz mtupe utaratibu wa kufuata tupate hiyo TIN
TIN namba ni bure hakuna gharama ktk upataji wa TIN namba ila leseni ya biashara ni una lipia baada ya kukufanyia makadilio ya biashara yako...

wengine wataongezea hapo
 
Mkuu hizi ni line mpya na za uhakika kutoka kwa wakala mkuu pamoja na vifungashio vyake kama mabango na vitabu vya kurekodia miamala so kwa hiyo bei ni resonable mkuu.. ila pia tunaweza wasiliana kwani ni biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza pole sana kwa maswahibu yaliyokukuta. Line zangu zina jina la wakala mkuu, unaweza kuzitumia zilivyo au kama una leseni naweza pia kukubadilishia line hizo hizo ziwe kwa jina lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nina laini ya tg nauza 150k napatikana 0712 699 624 napatikana tabata
 
Back
Top Bottom