Line ya tigo pesa inauzwa

mwalemi

Member
Feb 25, 2013
45
1
Kwa yeyote anayetaka au kuna m2 unamfahamu anayetaka line ya tigo pesa ninayo na ninaiuza. Bei ni shilingi za kitanzania laki 500,000 taslimu. kwa anayetaka anaweza nipm kwa namba 0712454307 .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom