Rejea title ya uzi huu, ninayo line ya tigo pesa naiuza kwa bei ya hasara Tsh 250,000 tu. Sababu ya kuiuza nimepata kibarua cha kudumu na nimekosa msimamizi wa kusimamia biashara. Hivyo inakaa tu bila matumizi. Changamkia offer hii. Kwa mawasiliano zaidi nifuate PM nipo DSM.