Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,463
- 1,901
0716648505Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
0716648505Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
halafu ni wa kwenu huyu ujueRain ya tigo mweh
kichwa cha thread umeandika rain ambayo kwa kiswahili ni mnvua sasa unahitaji mnvua ya tigo auWakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
Atakua wa kule kwenuhalafu ni wa kwenu huyu ujue
halafu ni wa kwenu huyu ujue
mkikosa pa kumweka, nigawie nitamweka kwenye kabila lisilojulikanaAtakua wa kule kwenu
😀😀😀😀mkikosa pa kumweka, nigawie nitamweka kwenye kabila lisilojulikana
Una sh ngapi?Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
Njooo tigo weweJamani mbona porojo nyinyi Ohh mvua ya tigo sijui vitu gani hebu acheni hizo mambo ...Nawashukuru mlionielewa ila nimepata changamoto kubwa kwa baadhi yenu wamiliki mnaotaka kuuza hizo line, sasa bas nimeamua kwenda kuwa ona mamlaka husika kwa ajiri ya kupata ufafanuzi sahihi na line hyo, .....niwapatia mrejesho nitakayoelekzwa
njoo pm nakutafuta aiseeNjooo tigo wewe
0716648505 whatsapp