Line ya Airtel simu kujiwasha GPS

Line ya Airtel simu kujiwasha GPS

romarry

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
65
Reaction score
22
Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena.

Nimejaribu kutrace Kama ukuna apps zinazo access GPS na kukuta hamna na kugundua ni mtandao wa Airtel unaosababisha hiyo hali kwani nikiweka line ya voda au tigo hilo tatizo linakuwa halipo msaada wenu nifanye niwezekutumia line ya Airtel bila kukumbana na tatizo ili
 
Line kama laini haiwezi kuwasha GPS yako labda incase simu yako "Hardware" ina respond negatively with Airtel simcard.

Solution ya kwanza nikujaribu na laini nyingine ya airtel then uone kama itawaka, ikiwaka maybe jaribu na mawazo ya wengine.
 
Mkuu nimejaribu na line nyingine ya Airtel still GPS inajiwasha
 
hili tatizo ninalo kwenye tecno h5 yangu
 
yeah hasa nikiwasha data inajiwasha hata u switch off vipi linajirudia

Me ndio nakereka hadi basi, nimetafuta ufumbuzi kwenye forums kadhaa bado naona bila bila , ila bado sijajua tatizo ni nini hasa
 
Me ndio nakereka hadi basi, nimetafuta ufumbuzi kwenye forums kadhaa bado naona bila bila , ila bado sijajua tatizo ni nini hasa

tusubiri wajuzi watakuja kutujuza so nalazimika kuzima data kila saa kinanikera kile ki icon chake kinachokuja pale juu sina jinsi na pia sio mtaalam sana wa sim hata sjui nifanyaje.
 
tusubiri wajuzi watakuja kutujuza so nalazimika kuzima data kila saa kinanikera kile ki icon chake kinachokuja pale juu sina jinsi na pia sio mtaalam sana wa sim hata sjui nifanyaje.

Nadhani wataalamu wa hapa jf watatupatia ufumbuzi! Ubaya wa gps kujiwasha ni kwamba ina drain battery hatari
 
Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena.

Nimejaribu kutrace Kama ukuna apps zinazo access GPS na kukuta hamna na kugundua ni mtandao wa Airtel unaosababisha hiyo hali kwani nikiweka line ya voda au tigo hilo tatizo linakuwa halipo msaada wenu nifanye niwezekutumia line ya Airtel bila kukumbana na tatizo ili
Mkuu, kweli hili tatizo lipo, mi wiki jana line yangu ya airtel ilikuwa inasumbua nikaenda pale makao makuu, wakanipa nyingine ndio balaa likaanza hata bila kuwasha mobile data, au wi-fi, na Gps inajiwasha tu ukiweka off baada ya sekunde chache tena zinajiwasha, nilibofya kila sehemu, nikachoka ikabidi niache tu, kesho yake jioni nikaanza tena, mala nikabonyeza kwenye location service, nika zi untick zote, mala kitu hichooooo!!! wakati jana yake nilifanya hivyo hata zile tick zilikuwa zinagoma kutoka!! hadi sasa kitu kiko powa, hebu jaribu kufanya hivyo,
 
kumbee hili umenijuza leo nilijua ukiactivate data muda wote charge hupungua kumbe hata GPS ngoja tuwe na subra

Angalia kwenye location service, kama kwenye USE GPS SATELLITES kuna tick iondoe tick tatizo litakuwa solved, mi nilisumbuka sana ila kwa kufanya hivyo ndio tatizo likaisha.
 
Hili ni tatizo sugu hata jamaa yangu analo kwenye Huawei ascend y 330. Lilishajadiliwa sana hapa lakini inaonekana ufumbuz wake ni pasua kichwa!!
Mtu aliyepigana vya kutosha na tatizo hili ni Mu7 ebu fuatilia maelezo yake kama yakusaidia:
Nifuatilie kwa makini:
Usisumbuke kutafuta suluhisho la hiyo Gps
kwenye simu yako. Mimi natumia Tecno M7.
Mwaka jana nilipata tatizo kama hilo
nikahangaika sana kulirekebisha kwa setting
kwenye simu yangu, ikashindikana. Nilibadili
hata Launcher haikusaidia. Nikamshirikisha
fundi mmoja mtaalamu sana wa simu naye
akashindwa. Fundi wa pili ndio akanipa ukweli
kuwa ni issue ya mtandao wa Airtel. Na kweli
ukiweka line ya mtandao mwingine Gps
haijiwashi kabisa ila ukiweka Airtel tu inawaka
na kila ukiiweka off inajiwasha yenyewe baada
ya muda mfupi tu.
Niliwapigia Airtel Huduma kwa Wateja nikaeleza
shida yangu na mtoa huduma akaniahidi
kulishughulikia. Jioni ya siku hiyo akanipigia
simu akinieleza kuwa ameshalishughulikia,
nizime simu na nisiiwashe tena mpaka kesho
yake asubuhi. Kesho yake nilipowasha, kweli
halikuwepo tena.
Mwaka huu limejitokeza tena mwezi Juni
nikawapigia tena Airtel Huduma kwa Wateja
lakini niliambulia kupewa ahadi za tatizo
kushughulikiwa mpaka nikakata tamaa.
Niliamua kuhama mtandao jumla kwa maana ya
ununuzi wa vifurushi maana shida hiyo
inatokea kwenye Slot 1 ambayo ina access ya
3G na hutokea uwapo katika eneo lenye
network ya 3G tu. Slot1 nimeweka Vodacom na
Slot 2 Airtel na Gps haijiwashi kabisa. That's
the only solution. Atakaekuelekeza tofauti na
hapo mwongo!
 
Last edited by a moderator:
Angalia kwenye location service, kama kwenye USE GPS SATELLITES kuna tick iondoe tick tatizo litakuwa solved, mi nilisumbuka sana ila kwa kufanya hivyo ndio tatizo likaisha.

tatizo uki switch off ukikaa kidogo vinarudi tena
 
Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena.

Nimejaribu kutrace Kama ukuna apps zinazo access GPS na kukuta hamna na kugundua ni mtandao wa Airtel unaosababisha hiyo hali kwani nikiweka line ya voda au tigo hilo tatizo linakuwa halipo msaada wenu nifanye niwezekutumia line ya Airtel bila kukumbana na tatizo ili

Niliwahi kuwa na tatizo km hilo wakati natumia Tecno. Lkn baada ya kubadili simu tatizo limeisha. Kuna baadhi ya simu ukiweka line ya airtel gps huwa inaingia automatic. Ukishindwa jutatua tatizo change line...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom