VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
hatasema kuwa wamepoteza ngapi bali atasema ccm inapendwa na imeshinda, siunajua tena akili za Nape ni za kitoto?Tunasubiri Nape atoe statement kuwa ccm imepoteza vitongoji vingapi
Halafu mtumeni Pius Msekwa kutamka tena kuwa JF imeshusha kura....Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.
Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.
Kujikwaa si kuanguka.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hapa kwetu, kati ya mitaa 71 ccm imeshinda mitaa 4 tu. Viva CDM.
Tusubiri matokeo kamili. Hizi porojo za Kinondoni tumezichoka sasaSomo la Escrow limewaingia wengi sana. Nguvu kubwa ya elimu Uraia kwa kila Mtanganyika ili wajitambue.
Huko kwenu wapi? Hakuna jina?HUku kwetu watu hawataki kusikia kitu kama CCM! Wanathubutu kusema wewe ni ccm na kama binadamu tunakupenda lkn ondoka basi huko ili tukpende zaidi! Mambo ni magumu hasa vijijini ikizingatiwa kuwa vijana wamekuja juu sana!!
Hali ni tete huko Lindi na Mtwara kwa CCM. Matokeo yanayotufikia hapa Ofisi Ndogo za Chama,Lumumba si vutizi. UKAWA wametupoka sehemu nyingi huko.CUF imetamalaki. CUF imetetea mitaa yake na kupoka mingine toka CCM.Wana-Lindi na Mtwara hatimaye wamelipa kisasi na kuonesha kinyongo chao juu ya sakata la gesi asilia.
Kipigo cha gesi kimejibiwa na kipigo cha kura. Sijui mwakani itakuwaje. Wana-Lindi na Mtwara tusameheni jamani.Tuliteleza.Hatutarudia tena.Safari hii mkiliona jeshi huko basi liko Kambini au limekuja kujenga madaraja na miundombinu mingine.
Kujikwaa si kuanguka.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Tusubiri matokeo kamili. Hizi porojo za Kinondoni tumezichoka sasa