Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,525
- 3,636
Yule jamaa ni mgonjwa wa akili,angekua mzima angekua japo anaugulia maumivu ya kujikata ila wala anaongea akiwa comfortable kabisa.Hiyo siyo hali ya kawaida.kijana mmoja wa kiume wa huko Kitangari mwenye umri wa miaka 33 amejikata uume pamoja na kidole (cha shahada) ili kumuondolea mambo mengi na kumtumikia Mungu.
HABARI KAMILI ITAZAME VIDEO.View attachment 1128029View attachment 1128030