Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

stellahthatcher

Senior Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
168
Reaction score
165
Habari JF,

Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet.

Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).

Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) sio kuvunja sheria.

Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa aihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).

Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.

Secure SmS pia inaweza kulinda ndoa kwa kuweka privacy baina wanandoa kila mmoja awe na uhuru wa kuwasiliana (Hide messages). Tunahaidi kuboresha kila siku mfumo huu na kufanya mfumo salama wa mawasiliano kwa jamii duniani.

Mfumo huu unauzwa kwa garama ya Tsh.2,000 ila kama ukinunua kwa kutumia Celebrity ID utapata mfumo huu kwa 1,500. Na gharama hizi ni kwa kipindi cha mwaka mzima. Ikitokea ume uninstall application bahati mbaya hutolipia tena mfumo utaingia moja kwa moja bila kuhitaji ufanye malipo yeyote.

Malipo yote yatafanyika kwa Mpesa, Tigo Pesa na Airtel money. Pia unaweza lipiwa na rafiki kwa mitandao hiyo download app kufuata maelekezo jinsi ya kulipa. Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.

city Dirham Rodcones bato MANCNOO @multiphill90 GEORGE @Dalalimwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz papaa AzontoMsemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack @GoodluckMchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai @Rassamnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 @Bableeedawa yenu The Certified DON SINYORI mij adden bwii ONTARIO Kobe The Vein @Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome @MpatanishiMKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo @shedede @kamtu33SteveMollel Ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 Ngushi ANATORY antonyukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa @shoo61BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu painscott wegman Bravo Engliash MOSELBAY @wa stendiFaizaFoxy bigmind cadabraa Internal Kelvin mwalukas mnonje Kelvin X Somoche Wgr30 Miiku Poise @Jabmankalamuyamwalimu BOMBAY the say juxhb witnessj Gide MK Mmanyema mgogoone Mnongane Mandingo koncho77 @afsangaboru Paradoxer Heavy Metal KIMBURU 06 Raaj kichekoh ngumba njeche kikale DullahTza Goodluck Mshana julius Darcy Denis @Kasekenya mashonga kitalembwa Khaleed Shaban middle east SirChief jiwe jeusi Mkambarani @mansakankanmusagambada ynwa ney kush
 
Habari JF,

Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet.

Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).

Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) sio kuvunja sheria.

Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa aihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).

Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.

Secure SmS pia inaweza kulinda ndoa kwa kuweka privacy baina wanandoa kila mmoja awe na uhuru wa kuwasiliana (Hide messages). Tunahaidi kuboresha kila siku mfumo huu na kufanya mfumo salama wa mawasiliano kwa jamii duniani.

Mfumo huu unauzwa kwa garama ya Tsh.2,000 ila kama ukinunua kwa kutumia Celebrity ID utapata mfumo huu kwa 1,500. Na gharama hizi ni kwa kipindi cha mwaka mzima. Ikitokea ume uninstall application bahati mbaya hutolipia tena mfumo utaingia moja kwa moja bila kuhitaji ufanye malipo yeyote.

Malipo yote yatafanyika kwa Mpesa, Tigo Pesa na Airtel money. Pia unaweza lipiwa na rafiki kwa mitandao hiyo download app kufuata maelekezo jinsi ya kulipa. Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.
Mimi ndo (spy) mdukua sms, photos, calls SAA hyo app kabla hujaitoa tayar nilishaidukua...
Napatikana hapa 0753093869
Spy 15000 tu.
 
  • Thanks
Reactions: lup
ni end to end encryption au ndo zile encryption za kawaida ambazo wewe una key unatudukua?
 
Habari JF,

Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet.

Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).

Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) sio kuvunja sheria.

Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa aihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).

Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.

Secure SmS pia inaweza kulinda ndoa kwa kuweka privacy baina wanandoa kila mmoja awe na uhuru wa kuwasiliana (Hide messages). Tunahaidi kuboresha kila siku mfumo huu na kufanya mfumo salama wa mawasiliano kwa jamii duniani.

Mfumo huu unauzwa kwa garama ya Tsh.2,000 ila kama ukinunua kwa kutumia Celebrity ID utapata mfumo huu kwa 1,500. Na gharama hizi ni kwa kipindi cha mwaka mzima. Ikitokea ume uninstall application bahati mbaya hutolipia tena mfumo utaingia moja kwa moja bila kuhitaji ufanye malipo yeyote.

Malipo yote yatafanyika kwa Mpesa, Tigo Pesa na Airtel money. Pia unaweza lipiwa na rafiki kwa mitandao hiyo download app kufuata maelekezo jinsi ya kulipa. Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.
masikini ndio michezo yao hii unakuta mtu ana miaplication kibao mara hili la kuficha picha,mara lile ninadaka msg za mke/mchumbaake zinakuja kwake,mara hili linafuatilia sijui nini,mimi nishafumaniwa na demu wangu,na pia ameshaona mimesegi yangu ya totoz kibao lakini kwakuwa nina mawe hafurukuti,ataenda wapi na nina kisu cha kufa mtu
 
Hehehe luck you.
 
Navyeye tunamspy
 
Tumefanya updates kwenye Application and its now better than it was before. Please download and let me your feedback.
 
BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS @mngonyExcel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke the BossDeejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root @aretasludovickjonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom @jimmyfoxxgongoNicodemas Tambo Mwikozi @Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos @Tembo2Erick the future nancy1983 Bulah binsaad @Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant @Jagoodpacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni @DinazardeAnalyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH @Ficussunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo @ntamaholoOtorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuelr2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute @kawombezinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING @easymahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi @dochiveleRenzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire @wigoMJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE @umandeEdger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S @Rogie1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu debbs Joe scorpnose musacha @shibumiseeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD @lusaka
 
Back
Top Bottom