Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Jambo hili lilikupata huko mwituni utachukua hatua gani?
hapo waliomo humo ndani nahisi wamejisaidia....
dhu! nafikiri nitabaki nikitetemeka tu
hapo napiga rivasi ya hatari lazima nile hapo huyo wa nyuma.
hapo nanihi inagonga kufuli na kurudi...tukio la kutisha hilo.. kifo nje nje na hakuna msaada. lakini hapo hao waliochukua hii picha watawapa msaada kama simba wakilianzisha zaidi ya hapo