Mtu mdogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 525
- 829
Biashara zenyewe wamejaa ushirikina hao ambao hawajasoma (illiterate) yani ukifungua kabiashara Kako na offer kibao za punguzo la bei ila mtu atakupita anaenda kwa yule ambae bei zake ni kubwa tena wamepanga foreni wakati kwako hakuna mteja na bei zipo chini we acha tulio soma tajiliwe tu wasio soma wafanye biashara zao kishirikina