Limited internet katika modem za basi jekundu

chineke

Senior Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
120
Reaction score
45
Wakubwa naombeni msaada. Nimekuwa nikitumia modem ya voda ktk windows 8 ila kila wakati nikiconnect na inaconnect ila inasema limited internet, haionyeshi kuunga net kabisa? Hata nikiweka pesa mchezo ni huo huo? Nifanyeje? Msaada pls
 
Wakubwa naombeni msaada. Nimekuwa nikitumia modem ya voda ktk windows 8 ila kila wakati nikiconnect na inaconnect ila inasema limited internet, haionyeshi kuunga net kabisa? Hata nikiweka pesa mchezo ni huo huo? Nifanyeje? Msaada pls
Check settings!,au uninstall kisha uinstall upya.je kwenye hiyo laptop inayofanya kazi ina windows version moja na hiyo inayogoma kufanya kazi?kama ni tufauti,inabidi upgrade hiyo modem,waone Vodacom watakusaidia
 
Settings ziko powa, na ni modem za sasa ambazo hazina firmware, ukichomeka inafungukia kwenye brawser moja kwa moja, settings ziko powa, maana nikiunga net kwa cm yangu mbona inafanya kazi?
 
Kitu kimoja kwenye settings zako. Kuna section ya connection type. Kuna RAS (Modem) na NDIS. Mimi huwa nachagua RAS connection kwa sababu connection hii ipo kama unavyotumia network cable. Kila kitu kwenye computer yako kama Windows updates na apps update kama una Windows 8/8.1. Na hiyo ya pili inatumia njia inayofanana na mobile connection. yaani metered connection. Hii ina few access kwenye apps zako. Mfano windows update zitakataa kabisa, ama zitaingia slowly. Kwa hiyo make sure unaangalia settings hizi.
ZINGATIA HILI: Kama umeset RAS, NDIS itakuwa kama limited connection, na hata kwa NDIS
 
Ndio ilivyo hata Kwangu but nahisi inachelewa kudetect line....kilaunapounganisha nenda kwenye my compt,then fanya kama unainstall upya,inaweza kukubali (at least kwangu) alafu hakikisha hauna software nyingine zinazosoma modem like join air,telekomsel e.t.c
 


Kaka hizi settings za RAS na NDIS ntazipata wapi? mimi sina uzoefu kabisa na Windows OS, natumia MAC miaka yote.. pia hii ni windows 8 sio 8.1
 

Mkuu hii modem haina kuinstall, ni modem hizi za sasa, ukichomeka tu inafungukia kwenye brawser.
 
kama ni hizi za Hi-Link za kuchomeka na kuopen browser. Basi nadhani maelekezo yangu yanahusiana nazile zenye dashboard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…