UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Bila Shaka alimpa limbwata la radi, mume alipoingia bafuni kuoga, mamba mkubwa akatoka kwenye beseni Na radi ikatokea kwenye maji yaliyo sambaa sakafuni Na kumpiga marehemuHbr Jf.Mwaka Jana Nilikuwa Kwenye Mazishi Ya Rafiki Yangu Alikufa Ghafla Minong'ono Msibani Ikawa Kuwa Amelishwa Limbwata Na Mkewe Mke Alivyo Hojiwa Akasema Alienda Kwa Mganga Kupewa Dawa Apendwe Kwakuwa Alifanya Hivyo Tangu Zamani Kila Dawa Inapopungua Nguvu Anagombana Sana Na Mumewe Mpaka Kutengana Akimpa Dawa Wanarudiana Kamuua Mwenzie Sasa Wadau Mnalisemeaje Hili?