Limbwata bila shaka

Limbwata bila shaka

Ni Baba mwenye kujitambua, badala ya kumchosha mkewe kwa kumbeba mtoto na si ajabu umbali wanaotembea ni mkubwa akaamua yeye ambebe mtoto wao.
 
Hapana, hakuna limbwata hapo

Huyu mtoto atakuja kuwa na mapenzi na baba yake inaonekana huyo mama apo jran si mama yake... gud..mimi nikiwa mdogo baba alishanibebaga huwa sisahau ilo tukio cz nlkua nina akili kdogo nliuguaga na kwa mapenzi ya wazazi baada ya kupata kazi tu niliwajengea nyumba yenye kigae cha maana kulipa fazila kwao kabla sjajenga yangu
 
... hadi jasho la ma. ka. li. oni linamtoka! au macho yangu?...

...tuwape heshima waliotulea.
 
Mapenzi bila hela yanashida sana. Hiyo yote ni kwa sababu hana kitu. Angekuwa na hela, yeye na mtoto wote wangebebwa.
 
Mkuu kizungu wanabebaje?

Wanakua na vibebeo maridadi yani wanakaeka katoto kune kitoroli kanasukumwa,veri comfortable au kuna vya kuwaweka kifuani,hiyo baba mtu akimbebea hata wanajf wasingeshangaa wangemuadmire baba na mtoto wake.kizungu ndo ivooo mr Chakochangu
 
Last edited by a moderator:
mkuu hebu nitafutie nyumba nataka nihamie huko aiss...

Aina shda ni wewe tu yani huku wagen wakija hawakumbuki nyumban kwao tena.
vyumba bei chee
vyakula unakimbia mwenyewe na tena kama ndo umetoka kwa panya road hapa hautajuta kuja mbeya.
karibu sana..
 
Back
Top Bottom