miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,022
... hadi jasho la ma. ka. li. oni linamtoka! au macho yangu?...
...tuwape heshima waliotulea.
hahahahaaa umenichkesha sana
... hadi jasho la ma. ka. li. oni linamtoka! au macho yangu?...
...tuwape heshima waliotulea.
Labda ungenithibitishia wewe miss-mbeyaningeamini..mana cjaona mimi- mana hata wenyeji wenyewe wa mbeya wasafwa hawana kitu iyo.
Wanyaki wana hiyo hata mi mzee wangu alikuwa ana tubeba
I see hapo sina+usemi...
ulienjoy basiii, lakin sio vijana wa leo..
I see hapo sina+usemi...
ulienjoy basiii, lakin sio vijana wa leo..
Labda ungenithibitishia wewe miss-mbeyaningeamini..mana cjaona mimi- mana hata wenyeji wenyewe wa mbeya wasafwa hawana kitu iyo.
"waafrika mkoje?" ni msemo wetu tu kwenye kiswahili kiroboto21, hauna maana ya ubaguzi. tafsiri yake ni hii:'wenzangu nyie, mkoje?Ww mzungu eeeehhhh ???
kaka kwema, tumetupana kaka....Kaka salama??
Wanawake usawa hautafutwi hivi jamani
Kaka wasafwa ni moja la kabila linalotokea mkoa wa mbeya lakin uwezi kusema wao ndo wenyeji,kuna wanyakyusa nafikili ndo wenye mkoa wao
Mazingira ya mwili i mean
we uijui mbeya vizur kaa kimya waache wanaoijua mbeya waje watete!
kwa iyo tukuyu ni mbeya au sehem ya mbeya?
mbeya namaana mbeya mjini.
wilaya mbeya mjini na vijijin wenyej wake ni wasafwa, wilaya ya mbozi wanyiha ambao bado chmbuko lao ni wasafwa. wilaya ya tukuyu na kyela uko ndo wanyakyusa chmbuko lao.
ndio wanyakyusa ni weng lakin usiweke kgezo kua ndo wenyej wa mbeya.
wafwatilia hata mana ya jina mbeya ndo urudi tena..
mbeya mjini ni yawasafwa wamalila na wanyiha japo wenyej huwa hawatak kukaa sebulen wanawaachia wagen ndo mana utakuta wamejaa uyole, uje mblzi miliman na uporoto..
wanatabia moja adim sana . mji ukitanuka wanasogea pemben
Ahsante sana Kwa kunielewesha ndugu maana me nilikuwa najua wanyakyusa ndo wenye mbeya maana kila kitu ni wao kuanzia elimu,utendaji na karibia vyote ndo nikajua ndo wanawakilisha mkoa
Hapana si kwel uchawi upo makabila yote ila sijajua nani anaongoza kwa mbeya wanaweza chuana.kiroboto21 said:Sasa kuhusu hao wasafwa nasikia wachawi sana,ni kweli???
ndio, lakin ni myaka ya nyuma uko 90s, kutokana na iman za kishirikina na weng wao ni wagen walioamia mbozi mjin tunduma kwa ajili ya biashara. wakiwemo wakinga na n.k., kwa sasa hakuna mambo iyo karibu usijeogopa.kiroboto21 said:Na wanyiha ndo wale wachuna ngoz za watu au????
kiroboto21 said:Mbeya ina maana gani??
ndio lakin wao wapo pembezon mwa mbeya sana tu.
Hapana si kwel uchawi upo makabila yote ila sijajua nani anaongoza kwa mbeya wanaweza chuana.
ndio, lakin ni myaka ya nyuma uko 90s, kutokana na iman za kishirikina na weng wao ni wagen walioamia mbozi mjin tunduma kwa ajili ya biashara. wakiwemo wakinga na n.k., kwa sasa hakuna mambo iyo karibu usijeogopa.
ahsante kwa swal zur ambalo ndo maada yenyewe
Jina la Mbeya limetokana na neno la kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi kwani miaka mingi wafanyabiashara walikuwa wanafika mahali hapo kubadilishana mazao yao kwa chumvi.
Mji wa kisasa wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati ule dhahabu ilianza kupatikana katika mlimani karibu na Mbeya hadi Chunya.
Wanawake usawa hautafutwi hivi jamani
Wewe ni baba wa aina gani, kama kuwajibika kwa mtoto wako unaona limbwata nawaonea huruma hao watoto wako nyumbani