Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,940
- 5,029
Lilikuwa tukio la ghafla tulibaki tunashangaa, ni tukio la long time ago 1999Picha?
Sema ukweli kwamba kila mtu alitafuta njia yakeNakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita,
Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya,
Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno,
alipotufikia alishika breki kali na kugeuka alipotoka, lilikuwa tukio la ghafla bin vuup tulishtuka sana,
Tukabaki tumeduwaa, Mwisho tukaanza kucheka tukaendelea na shamrashamra za kuupokea mwaka.
Kweli dunia ina mambo.
Hatukukimbia kwa sababu lilikuwa tukio lililotushangaza, na pia hatukuogopa kwa sababu tulikuwa barabarani siyo uchochoroni.Sema ukweli kwamba kila mtu alitafuta njia yake
DuhHatukukimbia kwa sababu lilikuwa tukio lililotushangaza, na pia hatukuogopa kwa sababu tulikuwa barabarani siyo uchochoroni.
Unaweza kudhani ni uongo ila sioni sababu ya kudanganya sipati faida yoyote,
Itakuwa mlivuta bangi nyingi sana siku hiyoNakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita,
Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya,
Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno,
alipotufikia alishika breki kali na kugeuka alipotoka, lilikuwa tukio la ghafla bin vuup tulishtuka sana,
Tukabaki tumeduwaa, Mwisho tukaanza kucheka tukaendelea na shamrashamra za kuupokea mwaka.
Kweli dunia ina mambo.
π π π πItakuwa mlivuta bangi nyingi sana siku hiyo