foshizzle
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 374
- 147
Ya wapi tena,nawe hua unavaa kama huyo hapo kwenye picha,duuu
Landmark hotel.

Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).
Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.
karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
Nenda bunda uliza nani mwenye haki miliki ya jina wasira ndipo uje hapaHawa watoto ni wajinga sana, wanatumia jina la wasira kujitafutia umaarufu wa kisiasa
Acha urongo huyo siyo mtoto wa waziri Wasira.Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).
Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.
karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
Mwambie ajiite Liliani George uone kama atauza hiyo Album.Nenda bunda uliza nani mwenye haki miliki ya jina wasira ndipo uje hapa
Uwaite wajinga
Landmark hotel.
Hahahahaaaa.....naamin utanifundisha nivaeje ufurahi. Haya mambo ya vijana..!!!
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).
Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.
karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
Kwan we sio kijana,kwa hiyo unamzidi babu slaa wetu??
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).
Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.
karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
Tatizo tunakariri na tunatoka nje ya mada hapa hebu naomba kujua nani mwenye haki miriki ya jina la wasiraWassira Rais wetu mtarajiwa 2015 hawezi kuwa na mabinti wanaojiuza kama hawa.
Jina la Baba Yao Mzazi anaitwa George Bokore anaishi Bagamoyo.
Hahahaaaaaa... white girl huo uchokozi. Ukitaka kujua nikoje njoo kwenye togather party pale kebby's. Usikose!
Hawa watoto ni wajinga sana, wanatumia jina la wasira kujitafutia umaarufu wa kisiasa
Mmmmmhhhhhhhhh!!!!mi nipo Mwanza nakula sato
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).
Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.
karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
Jmos ntakua nyegezi lazima nikutafute.