Lilian Wasira kuzindua albam ya nyimbo za CHADEMA Landmark hotel

Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.

Ili kuweka kumbukumbu sawa yeye si baba yake mzazi,namaanisha Wasira Waziri si baba mzazi wa Lilian,ila ni kweli kwamba waziri huyo ni baba wa Lilian,nadhani mleta mada aliteleza,na hata hivyo lengo lake mleta uzi si kuelezea Lilian kazaliwa na nani,bali kuuhabarisha umma juu ya uzinduzi wa album yenye nyimbo za ukombozi,ikumbukwe kwamba hata Afrika kusini waliimba sana kipindi hicho,jeshini huimba sana wakijiandaa kwenda vitani au wakiwa kwenye mafunzo,lkn hata wasukuma huimba wakiwa mashambani wakilima,hivyo ni namna bora ya kuleta hamasa.
Hongera Lilian Wassira.
 
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
Acha urongo huyo siyo mtoto wa waziri Wasira.
 
Nenda bunda uliza nani mwenye haki miliki ya jina wasira ndipo uje hapa
Uwaite wajinga
Mwambie ajiite Liliani George uone kama atauza hiyo Album.
Hawa mabinti mcharuko, they rape on a name which is already made.
 
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.

Tupe location ya landmark hotel. sio kila mtu anaijua!!
 
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.

Wassira Rais wetu mtarajiwa 2015 hawezi kuwa na mabinti wanaojiuza kama hawa.
Jina la Baba Yao Mzazi anaitwa George Bokore anaishi Bagamoyo.
 
Tatizo tunakariri na tunatoka nje ya mada hapa hebu naomba kujua nani mwenye haki miriki ya jina la wasira
 
Hawa watoto ni wajinga sana, wanatumia jina la wasira kujitafutia umaarufu wa kisiasa

Mjinga ni wewe, hata huyo Wasira unayemtaja, anatumia jina ambalo si lake bali la Wasira.....kuna George, kuna Stephen, kuna Lilian na wengineo, hao wote wanatumia jina la Wasira!
 
nimekubali chadema ina majembe mengi mpaka watoto wa waziri wasira wapo. hata hivyo sishangai mbona baba yao mwaka 1995 alikuwa nccr mageuzi. sasa basi, chama cha baba yake ccm kitazeeka nae moja kwa moja mzee kwisha 2015 utaondoka nacho.
 
Leo nmesoma kwenye gazeti eti chadema yadinda. Hahahaaaa....hawa wandishi wetu bana!
 
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.

Sema mtoto wa ndugu yake Steven Wasira,huyu dada ajiangalie asigombana na Josephine,maana babu amekua honja honja
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom