Lil Wayne Vs Young Nucho.....!!!!

Basi hutabahatika kuniona..instagram ndo the only social media i use to show off myself..nauza sura kwa raha zangu.eti nitoe username jf?!duu wee mbayaaaa weweeee..sahau mkuu.

Sasa c ndo unatoa instagram I'd mkuu?
 
Hahahahahahaha tupate ukweli hata mie naweza sema nimefanana na angelina jolie hahahahaha lol

Hahah hata mimi rafiki zang hua wananifananisha sana na Hrithik Roshan yaan kama mapacha!
 
Da farkhina hiyo si ndio wameact kina Arjun Rampal, Amisha Patel na Zayed Khan? Naipata fika. Picha linaanza tu mke wa Raul kafa (pooja).

Yeah naipenda sana ile movie...napenda vile arjun anajifanya kipofu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…