Lil Wayne Vs Young Nucho.....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140

Young Nucho is a south african rapper and a weezy lookalike. Huyu jamaa alitoaga wimbo unaitwa AM NOT WAYNE baada ya mashabiki kua wanamfananisha sana na lil weezy (thou ni kama anacopy kila kitu from wayne). There is a time inasemekana Lil Wayne alimslap huyu jamaa wakati alivyoenda S.A baada ya kukerwa na jamaa anavyomuiga. But daah, jamaa kiukweli kuna ka resemblance flani.
 
Hapa bongo kulikua na msanii anajiita snop lee. Akaja kumuemail snop dog dog kwamba wanafanana so amsaidie kumbeba kimziki. Jibu alilojibiwa aliamua kubadili jina na kuachana na mziki. Mia
 
Hapa bongo kulikua na msanii anajiita snop lee. Akaja kumuemail snop dog dog kwamba wanafanana so amsaidie kumbeba kimziki. Jibu alilojibiwa aliamua kubadili jina na kuachana na mziki. Mia

hahaaa alipewa jibu gani!!!!!!!

kuna yule Michae Jacson wa Bongo
 
Hapa bongo kulikua na msanii anajiita snop lee. Akaja kumuemail snop dog dog kwamba wanafanana so amsaidie kumbeba kimziki. Jibu alilojibiwa aliamua kubadili jina na kuachana na mziki. Mia

Naskia aliambiwa labda amefanana na mbwa wake lakini sio yeye.
 
Kwa mfano mimi rifiki zangu huniambia nafanana sana na the founder and producer of aftermath entertaiment-dr. dre.halahala tu isije siku nikasikia kajitangaza punga,sijui nitaficha wapi uso wangu.mana hawakawii hawa maceleb.refer to michael scofield gay saga.
 

Acha mkuu hebu post pic yako tuione.
 
Mkuu mimi sina instagilamu ila we tupa yuzanemu yako nitakucheck kwenye gilamu ya mshkaj.

Basi hutabahatika kuniona..instagram ndo the only social media i use to show off myself..nauza sura kwa raha zangu.eti nitoe username jf?!duu wee mbayaaaa weweeee..sahau mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…