Lil Wayne hali ni tete...

Hizo picha sio za kweli kaka, mana juzi tulikuwa pamoja KENER, Na yupo powa sana.
 
Lil Wayne's net worth is an estimated $120 million according to Celebrity Net Worth. However, in an interview with The Nine Club, the rapper downplayed how much he was worth, reports AllHipHop.com.
 
hahaha acha porojo mkuu, mwaka gani aliweka wazi. zilipo vuka kawaka ilikuwa 2014-15 na akajibu 'dont playing with me ya mammy got AIDS'

Lin alijitangaza kuwaka.
Hiki ndio mimi ninachokifahamu nilitaka kushangaa...

Eti wayne kawaka wakati alikanusha.
 
Kwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.

View attachment 1258810
Achana na picha za photoshop mkuu jamaa yupo sawa tu vita yake kubwa ni uraibu wa madude yake anayotumia na kushuka kimuziki ila si kama hiyo picha inavyotuaminisha
 
Harafu-halafu daar mens
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…