Lil Wayne hali ni tete...

Tumuamini huyo Dada sababu mara ya mwisho lini ulipomuona Lil Wayne akifloo stejini?

Je skendo zozote kuhusiana na miziki yake?

Je kuanzisha wimbo mpya na kuuimba?
 
Unapisema zimeanza kumpa shida unamaana tattoo ndio chanzo cha hayo yote? Mara ya mwisho nlisikia alikua anaanguka kama kifafa hivi na kupelekea kuahirishwa kwa shoo kadhaa
Na mimi nafahamu hivyo na pili Wabongo wafahamu kuwa hao watu wana bima maalumu (kubwa) za kutibiwa hivyo wasifikili atapitisha bakuri kuchangiwa. Mwisho wafahamu kila mtu aliyepo hapa duniani ataugua au atakufa na kuugua sio kifo. Walimsema Lowassa atakufa na Mtikila akatangulia. So pambaneni na hali zenu
NB: Harafu afya yake iko fresh tu kadiri siku zinavyosonga
 
Ushahidi wowote ktk hili will be appreciated
 
Inasemekana ni Kansa ya Ngozi
Unapisema zimeanza kumpa shida unamaana tattoo ndio chanzo cha hayo yote? Mara ya mwisho nlisikia alikua anaanguka kama kifafa hivi na kupelekea kuahirishwa kwa shoo kadhaa
 
Ana ngoma mbona muda tu. Na aliweka wazi.
hahaha acha porojo mkuu, mwaka gani aliweka wazi. zilipo vuka kawaka ilikuwa 2014-15 na akajibu 'dont playing with me ya mammy got AIDS'

Lin alijitangaza kuwaka.
 
Huyu walisema afya yake ni kama alikanyaga miwaya
Duh anafanana na mdudu
 
mukubwa lil wayne haiitaji umfatilie sijui tangu azaliwa yule ni mtu maarufu lolote la kumuhusu ni habari tungesha fahamu mkuu
ndio maana nikasema i heard maan yake nilisikia . Kwa mtu mkubwa haimaanishi kwamba ndio kila kitu chako kinafahamika mzee kuna watu wengi ni wakubwa wasanii wa mbele wana mambo yao na haya julikani
 
Awe hivyo TMZ wasichapishe habari?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…