Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
After being spotted roaming LA Streets nearly naked at 4AM. According to TMZ.
Omba yasikukuteInakuaje hadi mtu unaingia kwenye madawa wakati madhara unayajua
Yeah...ni shoga pro max.Ni shoga?
Okay, sijawahi kumsikia, ila hiyo miondoko kwenye video sio ya kiumeYeah...ni shoga pro max.
Ni msanii maarufu wa kizazi kipya huko Marekani.. Ana mambo ya ajabu ajabu sana.Okay, sijawahi kumsikia, ila hiyo miondoko kwenye video sio ya kiume
Ndo maana anatumia madawa kujipoozaNi msanii maarufu wa kizazi kipya huko Marekani.. Ana mambo ya ajabu ajabu sana.
Ni ulevi tuInakuaje hadi mtu unaingia kwenye madawa wakati madhara unayajua
Been sick for 15 yrs🤔....Daah hii dunia bora ipotee tu ..this is too much .Been sick for 15yrs ..huyu jamaa aniazime ata tumbo lake tu mm nakuwa millionea.God kindly save him
Shoga hiloNi shoga?
Yes ! Mm APA 15yrs naumwaBeen sick for 15 yrs🤔....
Pole sana mkuu.... Nilimshuhudia mzee wangu akipambana na maradhi for 5 years, naelewa ugumu wake japo kwa kutizama!!Yes ! Mm APA 15yrs naumwa
Asante mkuu for your kind words ...life goes on kibishiPole sana mkuu.... Nilimshuhudia mzee wangu akipambana na maradhi for 5 years, naelewa ugumu wake japo kwa kutizama!!
Ila usikate tamaa ndugu, naamini unamuamini Mungu..... usimkatie tamaa kabisa, siku moja atakurejeshea tumaini ndugu
Huyu haja left kweli?After being spotted roaming LA Streets nearly naked at 4AM. According to TMZ.
View attachment 3448375
Nini shida mpendwa pole sanaYes ! Mm APA 15yrs naumwa
Hospital pia hawajui shida nn kaka nipo nasubiri siku zangu za kuishi duniani zifike nisepeNini shida mpendwa pole sana