ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 538
Mi ningeipa thamani hii kitu kama vijana wetu(wasanii) wangekua wanafaidika na hii kitu, huwezi amini wakina FidQ walikua Kkoo juzi wanafanya shoping ya raba za buku 7-10 yani wamepewa 50k each kwa ajili ya shopping, kweli hawa clouds wanawapatia hawa vijana, imagine mtu kama fidQ anapewa 50k wht abt hawa waduchu? jamaa wanyonyaji sana aisee...its horible ukisikia story za hawa wasanii live kama nilivyobonga nao juzi kkoo.