LiL KiM ATUA BONGO......

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786

Japo Kim sio Beyonce siku hizi, lakini blogu za Kikenya hazijasita kuwajia juu ma promoter wao kwa kushindwa kuwaletea wasanii kama wa Tanzania wanavyosababisha.

Lil’ Kim to Rock Tanzania, Where are our Promoters?

lilkim.jpg


Niaje.com
August 3rd, 2010

Renown hip hop diva Lil' Kim will be rocking her fans in Dar es salaam, Tanzania this coming weekend for an annual party called Fiesta organized by Tanzania's leading media house, Clouds Media which owns a TV station and the biggest FM radio in Tanzania.


Tanzania enjoys international performances and we can attribute that to credibility of the promoters there and the corporate sponsorship of such events which amounts to millions of shillings (Billions in Tanzanian currency). Within the last one year, Tanzania has seen performances by the likes of Beenie Man, Busta Rhymes, Sean Kingstone and more while Kenya can only count Gramps Morgan within that period.

Its a huge shame and we need our promoters to start pulling their socks. Local musicians are also falling in the same fouls compared to Uganda and Tanzania where artistes are making their lives move with their career.
 

Attachments

  • lilkim.jpg
    lilkim.jpg
    18.5 KB · Views: 48
Niaje.com
August 3rd, 2010

Renown hip hop diva Lil' Kim will be rocking her fans in Dar es salaam, Tanzania this coming weekend for an annual party called Fiesta organized by Tanzania's leading media house, Clouds Media which owns a TV station and the biggest FM radio in Tanzania.

duuh, hawa Niaje.com sijui wame-establish vipi fact kama hiyo!!
 
Watu wetu bwana wana shida sana, if anything Lil' Kim is a has been that is hanging on to dear life, watu wanataka kutoana ngeu.
 
Mwaky au Mwaka? Habari za Mwakyembe nimeshajitoa na sintazijadili tena..............

Kumbe na wewe unaupenda huo wimbo, hihihiiiiiii Wanyamwezi wanapenda sana habari za KIYUMBO :)
akili yako chafu sana wewe lol

btw, how is mwaky?
 
Mwaky au Mwaka? Habari za Mwakyembe nimeshajitoa na sintazijadili tena..............

Kumbe na wewe unaupenda huo wimbo, hihihiiiiiii Wanyamwezi wanapenda sana habari za KIYUMBO :)

Aaaah bana weee mimi hizo Mwa mwa zinanichanganya bana....kila mmoja wao ni Mwa....what the hell!!!!???
 


MWANAMUZIKI LIL KIM ATEMBELEA LEADERS NA KUJIONEA JUKWAA KABLA YA KUKATA KIU YA WABONGO!!http://fullshangwe.blogspot.com/2010/08/mwanamuziki-lil-kim-atembelea-leaders.html

Mwanamuziki Lil Kim kutoka Marekani ambaye amewasili leo akiwa katika viwanja vya Leaders Kinondoni kwa ajili ya kujaribu vyombo kabla hajapanda jukwaani hapo baadae hapa akijadiliana jambo na wanamuziki wake alioongozana nao Lil Kim huenda akafanya kitu na mwanamuziki Juma Nature jukwaani hapo leo manake kuna maelezo amepewa kuhuhusu m wimbo wa Mugambo wa mwanamuziki huyo kutoka Tanzania wakati alipokuwa akiulizia wimbo ambao ni wa kitamaduni na wa kiafrika.
Hapa Lil Kim akizungumza na Ruebeny mtangazaji wa Redio Clouds wakijadili mambo kadhaa kwa ajili ya tamasha hilo.
Mwanamuziki Lil Kim wa Marekani akiwasili kwenye viwanja vya Leaders kwa jili ya kuangalia mazingira na kujaribu vyombo kabla hajafanya mambo yake makubwa hapo baadae.
Tayari mashabiki wameshafurika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni kwa ajili ya kushuhudia tamasha kubwa la muziki la Fiesta Jipanguse 2010 "Rrrrrrah " kama unavyoona umati huu ulikaa chini kwa hamu kubwa ukimwangalia mwanamuziki Lil Kim ambaye yuko hapa akijaribu vyombo kwa sasa.​
 
hao jamaa wawili waliomzunguka si mchezo......naamini kaja nao hao sio wabongo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom