LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,301
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
UPDATE: Wakuu msione kimya. Bado sijapata nafasi ya kutoa ushuhuda wangu. Nikipata nafasi nitakuja kushuhudia A to Z.