Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Maisha plus lilikuwa ni shindano zuri na lilitokea kuteka mioyo wa Watanzania wengi(mimi pia nikiwa miongoni mwao).Sasa nashangaa shindano hili limekufa ghafla tena kile kifo wanaita Natural death.kuna yewyote mwenye kuelewa juu ya shindano hili na mipango ya waandaji?