Likizo ya wiki

Likizo ya wiki

yuleeee

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
57
Reaction score
11
Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada

Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia kichwani na ni hatua zipi utachukua. Najua nyie ni washaur wazur nisaidieni ili nisikurupuke kwenye kufanya maamuzi
Nawasilisha
 
ule wimbo alioimba Bonge la Nyau na Bob Junior unaitwaje tena. . .

Me nasema hawafai, wanamapenzi ya uzushi hapa mjin.......

Pengine mtoa mada alimuuzi au kuna mambo yametokea yanamchanganya demu unajua tena mapenzi ya tamthiria za uphilipine, ha ha. Mpe muda bana alafu msikilize tatizo ilikua nn!
 
Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada

Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia kichwani na ni hatua zipi utachukua. Najua nyie ni washaur wazur nisaidieni ili nisikurupuke kwenye kufanya maamuzi
Nawasilisha

si unamuacha awaze nambo yake......
usipende kucomplicate mambo,life is so simple!!!!!
 
....we unapewa likizo, mwenzio anapewa mapenzi moto.
Hiyo ni dalili ya kuchokwa.
 
Maana yake anahitaji muda wa kutafakari mambo mengi pamoja na mahusiano yenu. Kuna vitu vinamsumbua na anahitaji kutulia na kutafakari; so give her space. Akirudi atarudi na mapenzi mapya kama ni wa kurudi; otherwise anaweza kuja na kauli kama hii "honey, l dont think this is going to work, l cant see US in say 2 years to come, so lets end this for everyone's sake"
 
kwani mkeo au, kama mkeo unahaki ya kuhoji ila kama demu, harafu acha uzinzi dogo, mwenzio anawaza kumrudia MUNGU, we endelea kuwaza ushetwani wako huo
 
Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada

Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia kichwani na ni hatua zipi utachukua. Najua nyie ni washaur wazur nisaidieni ili nisikurupuke kwenye kufanya maamuzi
Nawasilisha

Kuna mtu mwingine kampata huyo Kishaanza kukuweka kwenye mizani, we mtwange likizo ya Mwezi!

Afu mi najuwa keshaanza mizinguzi muda kidogo we unamchekea tu!

Utavuna mabua.
 
kk haina haja ya kuwa na comitment hakikisha unatumia condom madem mtaani wengi chugua zaga lako mpaka asubuhi ina tosha then mlipe aende zake
 
ule wimbo alioimba Bonge la Nyau na Bob Junior unaitwaje tena. . .
ebana wimbo naupenda kinoumaaaar..........!
"Usithubutu mapenzi ya mmujini kwa daada wa mujini atakuacha ataenda....
nana nananananini nananananini anakuacha anaenda........"
 
Ukiona mwanamke anakwambia hivyo ujue hata akiwa na matatizo haujawahi kumpa Msaada hata wa mawazo tu!hivyo na wewe ni tatizo jingine kwake.na hakuna penzi tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom