Likizo ya wiki

Likizo ya wiki

Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada

Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia kichwani na ni hatua zipi utachukua. Najua nyie ni washaur wazur nisaidieni ili nisikurupuke kwenye kufanya maamuzi
Nawasilisha

huna lako hapo ,ameshabebwa na magwiji wa mjini huyo.
 
Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada

Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia kichwani na ni hatua zipi utachukua. Najua nyie ni washaur wazur nisaidieni ili nisikurupuke kwenye kufanya maamuzi
Nawasilisha

Hajakuchoka ila anataka kubadili radha, kila siku ugali kwa maharage tu; mwache akale biriani kidogo, atarudi.
 
Kama ulikuepokuepo tu ilimradi bas hapo u realy need to worry ila kama ulikua responsible enough as a man bas relax anaifanyia marekebisho kidogo katiba ya mapenzi yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom