eti kisa ana family conflict mchumba wangu ananiomba nimpe likizo ya kimapenzi kwanza asolve hayo matatizo then atanirudia yakiisha looh tamthilia zimewaharibu sana mabinti zetu wa kiswahili jaman... tangu lini mapenzi yakawa na likizo???
mie mwenyewe nishasoma alama za nyakati hakuna kitu kama hii so nimeonelea achukue hiyo likizo yake ambayo no calls no text akimaliza kama nafasi yake itakuwepo bado ataikuta akikuta imekaliwa imekula kwakeAnakukimbia kijanja huyo. Mtu anaekupenda atahitaji kuwa nawe muda wote na si kucreate hiyo distance.
Hiki ni kama kichekesho lakini huwa inatokea. Mfano mimi nimewahi kuwa na Mpenzi fulani, sometimes alikuwa ananipiga ban kulala naye especially home kwake kwa mwezi mmoja mzima au hata zaidi. Hiyo ni adhabu ati, nikimkosea ananiadhibu hivyo, utamsikia ananambia hutalala home kwangu hadi baada ya mwezi mmoja! Wanaume wengine bwana!