Likizo time!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mhh sabatical leave? Kila la kheri bibie! Bye!
 
Ndugu wana Chitchat na JF kwa ujumla...

Nasikitika kuwaaga :sad: :sad: :sad: , kuanzia jumatatu ya tarehe 18/03/2013 nitakuwa nje ya Jukwaa letu pendwa kwa muda usiojulikana. Mungu akipenda tutaonana tena hapa jukwaani.

Nitawamiss saaaaaaaana.....

kwani harusi ndio ishakaribia?? nasikitika moyoni nalia machoni... nipm namba yako japo niwe nakusalim tuuuuuu,
wajua twakupenda ila majukumu yamekupenda zaidi.

will miss uuuuuu:nono:
 
Jamani cousin hata hatujaonana unaondoka jamani

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
 
kwani harusi ndio ishakaribia?? nasikitika moyoni nalia machoni... nipm namba yako japo niwe nakusalim tuuuuuu,
wajua twakupenda ila majukumu yamekupenda zaidi.

will miss uuuuuu:nono:

Hahahaaaaa.... Kweli majukumu yamenipenda zaidi... Haya ntakupm
 
hahahaaaaa........ Kama vipi twende unisindikize basi.... Kizygote noma aiseee bado sana ati... haya stay safe!!! :crying:

Unajua sitaniwagwi?
Haya sema nibebe nguo za kijijini, porini, mlimani ama baharini? Nibebe na camping facilities ama tutakuwa tunakaa mahotelini?
 
Mimi siyo braza wako, ntake razi.
 
Unajua sitaniwagwi?
Haya sema nibebe nguo za kijijini, porini, mlimani ama baharini? Nibebe na camping facilities ama tutakuwa tunakaa mahotelini?

Beba nguo za mashambani mamie!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…