jaman jaman jaman hivi hizo likes zinatolewa kwa ubaguz au? Natumia nokia e65 na pia browser ni opera min 6.5 tangu nimejiunga nasikiaga watu wanapeana likes ila mim sijawah kuona hcho kitufe kabisa. Au mda wangu wa kupewa bado?
kuelewa shida jameni?
Huyu hajasema kuwa hajapewa 'like', inawezekana anapewa ila hawezi kuziona mpaka aweke 'Desktop' mode.,. Na kuhusu kitufe ndo ivo hivyo, hawezi kukiona kwa kuwa anatumia simu.