over my dead body sweetlady, sijawah, na wala sintojarbu kukpenda hcho chama. Pokea like
yangu (ndo matatzo ya sim, like 2naandka.)
Ha ha haaa.i like it
Hahahaaaaa........mkuu hiyo avatar yako duuhhhh!!
We subiri wakunyonyoe kope ndo utajua kama Mapi anakulinda au la!!!!!!!!
unajua niliamua kumuenzi bibi kwa kuweka picha yake kama avatar yangu.
Kitufe cha 'like' kipo mkuu.
Gonga kwenye desktop; unaweza ku 'like' au ku-rate thread, pia kuona
avatar za akina Kongosho, Malaria Sugu, Mimi Mwanakijiji, The Boss,
Bishanga, Nape, Iselamagazi, Sikonge, Tusker Baridiiii n.k.
Hehehehe swahiba Kipipi kwanza kabisa hujambo?......mie sijambo khofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.....
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa Bishanga simuogopi vile Mapi yuko maeneo haya....akiondoka tu na mimi naondoka lol....
Wasalamu swahiba wako wa ukwee sweetlady!:happy:
Tobaaaaaaaaa......bibi yako ndo yuko hivyo? lolest.
unajua niliamua kumuenzi bibi kwa kuweka picha yake kama avatar yangu.