'likes' hazilipiwi LUKU!

taratibu mkuu,mhusika anasema kanokia tochi ndo kanamponza,hakapigi 'like'.
 
umejuaje @ sweetlady. Hcho ndo kiref chake


Kumbe nimepaita eeh lol.....nigongee like basi....ila nihakikishie tu kuwa sio chama cha Mapi......manake kama ni hivyo ntaacha kukupenda sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Any good reason kwa nini huwa hutoi 'like'? Just curious.

Bishanga,
mara nyingi kama cko ofsini huwa natumia phone,that's why nashindwa kukugongea LIKE,Ila worry not,one day ntakugongea 'LIKE' Mkuu.
 
ivi kuna zile zama za thanks...!mnazikumbuka????!.....

ile jf ilikuwa tamu sana...!kuna njemba ilikuwa inaitwa maxishimba!...ilikuwa tisha mbayaaa....
 
Mimi
(200/0)*100=undefined.
mkuu any number divided by zero ni infinity,kama unatoa tuuuu hupokei na unazidi kutoa MU yako ni infinity,yaani una ukarimu wa kupitiliza,hapo sasa tena mbingu itakuwa ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…