Like Father Like Son RMX....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Niaje wakuu,
Bila shaka kwa wale wapenzi wa hiphop mnaielewa vizuri hii ngoma ya stamina alioshirikisha vichwa kibao ambapo Fid a.k.a kaka mkubwa amesimama kama dingi yake stamina. Swali ni kwamba je, kama the late Ngwair angekuepo hii Leo nani angesimama kama son?
 
Jibu ni simple tu, Le Baharia... Le mbebez
 
Hakuna hip hop hapo waimba mithiri/mifano na kistyle chao cha "niite francis ambae sitaki upapa.......

Bongo labda niki mbishi na wakazi kwa miaka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…