Lijue Jiji la London

ndio maana wazungu wanatembea mwendo kasi kuliko waafrika
Matango pori tu hayo. Kila nyumba London inafikika kwa gari. Huyo ja
Kwa maelezo haya kumbe London ni mwendo wa kusaga soli?
Matango pori tu hayo dada. Huyu jamaa kawapa story za medieval London. Hakuna kitu kama hicho. Barabara ni utitiri na kila nyumba inafikika kwa barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…