Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Mbona ATR za PW zimedumu?Toka lini vipangaboi vinadumu
Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.
- Akihojiwa na blog ya muuñgwana kuhusu hali nzima ya makinikia na hatua alizochukua rais kuongea na wezi ikiwa ni tofauti na wezi wengine wanaopigwa mawe na kufungwa.
Na kaenda mbali zaidi na kusema rais alipata wapi mamlaka ya kuchukua fedha na kununua ndege kinyume na sheria? Je ccm walio wengi wana haki ya kuhoji matumizi hayo yalio nje na mpango wa bunge?
Je unajua moja ya ndege hizo ni mbovu na imepaki haifanyi kazi? Na tulisema kanunua mitumba?
Rais atanunua ndege zingine ku-replace hiyo moja iliyoharibikaHizi ndege zilipigiwa sana kelele nikajua ni kuishiwa sera kwa wapinzani...yanatokea sasa
Wewe ndo hujui usemalo! Kimsingi manunuzi yanatakiwa yawe wazi kwa bunge na si rais kujichukulia maamuzi bila kushirikisha bunge wewe huoni kama kuna maamuzi Rais hufanya kibabe bila ushauri wa wote!! TAKE TIME TO THINK IT IS A SOURCE OF POWER!.hata binadamu akizaliwa leo anaweza kuugua baada ya siku kadhaa sembuse ndege?
Hivi hawa wapinzani wa Tanzania wana matatizo gani ?
kwani tangazo la ATCL kuhusu hii ndege hawakulisoma au? Mbona gari yake huwa anaipeleka service kila wakati why ndege?
Kumbe pesa ipo sio?Unanunua mbovu afu unaleta nyingine??R
Rais atanunua ndege zingine ku-replace hiyo moja iliyoharibika
Nyie chadema nyie mwaka huu mtapasuka sana. Ndege mbovu siye zile bombardier Bali ni ile ya zamani na mlurugenzi imetoa ufafanuzi Jana. Yaani imebaki ni kuokoteza tu matukio hoja Hanna Teena. Mwambieni slaa aje kuwasaidia vinginevyo naona 2020 mkiweza kushinda ubunge watu 10 mmushuru mungu.Azidi kushangaa kumpongeza rais kwa kazi aliyoanza badala ya kusubili amalize kazi na kusema alitarajia aseme flani na flani wahojiwe juu ya mikataba huu ni kudhihirisha hii muvi ndo efika mwisho.