Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Wapenzi wa jukwaa la MMU nimeitwa kwenye kikao cha usuluishi.Jirani na Rafiki yangu wa karibu sana walikuwa na mgogoro wa muda mrefu katika ndoa yao mara kadhaa vikao vya usuluishi vimefanyka bila kupatikana suluhisho la kudumu.Tatizo nililokuwa nikilijua ni tabia ya Rafiki yangu kuzaa na wanawake tofauti tofauti,tayari alikuwa na watoto wanne kwa wamama tofauti.
Nilipoitwa kwenye kikao nilijua hili suala la kuzaa hovyo hovyo lingechukua nafasi kubwa,lakini mambo niliyokutana nayo kwa kweli yalikuwa si ya kawaida.
Mke anadai tatizo la mume kuzaa nje ya ndoa si muhimu kwake wala halimpi taabu,kwanza alishamruhusu baada ya kuchoshwa na tabia yake ya kupenda kunako mchezo wa 6 x 6 kila mara bila kuchoka.Mwanzo wa ndoa yao alidhani labda ni ugeni na kutokuzoeana (baada ya kupewa ushauri na wanawake wazoefu) lakini hali hiyo iliendelea hadi kugeuka kero.Jamaa akirudi nyumba akimkuta wife anaongea na wanawake wenzake umwita kwa hasira utadhani kuna jambo muhimu anataka kumweleza akiingia mlangoni anakumta jamaa keshavua nguo ....... Akiwa anapika jamaa liko jikoni haliwazi ugali wala mboga linauliza kwa hasira hiyo biashara ya kupika itamalizika saa ngapi !.
Naomba wenye uzoefu wa haya maswala ya 6 x 6 hasa upande wa kina Dada,je hii tabia tunaweza kusema ni kero au starehe.
yaani huyo nikipewa mimi, wala sitasubiri kikao cha shangazi wala balaza la Walei.......
hicho ni kifo sasa....
mwulize Himidini hapa kuna kuombea tendo kweli? au hapa sala ya kuomba nguvu zipungue ndo itahusika?
Hadi wafikie kuoana huyo dada alikua hajamshtukia?
like U..abeee....
Huyo inabidi akutane na Madame B
MWenzio alidhani ugeni!!!
I am always amazed by people who rush into mariage thinking they will change their partners once in. Hajui partner wake nae alisema: for once that I have someone who likes me AS I AM ngoja tuoane. sasa wakifika huko mbele huyu anataka mwenzie abadilike, na yule anamshangaa mwenzie mbona alinipenda nikiwa hivi?Ukisoma maelezo, it seems mwolewaji alijua ni suala la mpito tu, akikua ataacha, lkn naona tatizo limeendelea. Nadhani mume anahitaji ushauri nasaha
Eeeh bwana kumbe mpo wengi eeh? kwenye miti hakuna wajenzi na upele humwota asiye na kuchaHata mi namtaka......
I am always amazed by people who rush into mariage thinking they will change their partners once in. Hajui partner wake nae alisema: for once that I have someone who likes me AS I AM ngoja tuoane. sasa wakifika huko mbele huyu anataka mwenzie abadilike, na yule anamshangaa mwenzie mbona alinipenda nikiwa hivi?
Hapo anae takiwa ku-adapt ni mke maana she knew about her husband sexual apetite toka mwanzo.
ha haaa, mambo ya ku-over dose, lol!yani Fp kabisa hilo ni janga kabisa maana unaweza shindwa hata kutembea kisa...loh, hiyo ni spirit kabisa au inawezekana alienda kwa watoa dawa ya kuongeza nguvu za kiume sasa zimemshinda. hapana aisee pole kwa huyo dada.
huyo ana matatizo sio swala la utamu wala mnato maana kama angekuwa anamfeel mkewe pekee hao watoto wanne nje wa mama tofauti wasingekuepo inaonyesha huyo jamaa kazi yake ni hiyo tu...Si ajabu, inaonekana jamaa anamfeel sana mke wake au ki ufupi huyo mke ni mtamu sana na K yake iko mnato sana, km ingekuwa bwawa au mdebwedo jamaa angekuwa hana hata hamu nayo kwa kiasi hicho. Ki ujumla ukiikuta K tamu kila saa wataka uipige tu, mi mwenyewe ishanitokea kwa ishu fulani hivi sema hakuwa mke alikuwa GF ilikuwa sipepesi macho ila kwa wengine akaa, si kivile.
Unasemaje kuhusu simba wa Yuda mfalme Daud na wakeze 600? au mwanae Suleimani? Nao walikuwa na mapepo ya ngono au vipi na ni nani mwingine mbali ya Yesu aliyekipenzi cha mungu zaidi ya Daud? mbona Yesu mwenyewe anajitapa ni mwana wa Daud au ndio na yeye kazaliwa kwa njia za hayo hayo mapepo ya ngono? biblia inasomwa katika ujumla wake sio kudandia mstari mmoja mmoja; hivi kuna nabii mwingine aliyejua sheria kuliko Mussa? mbona ndiye alitoa idhini hiyo? na je Yesu alimtengua Muskiwango wapi huku unamuumiza mwenzio? kulingana na imani yako inaruhusu wake wanne, ila imani yangu inasema kila jambo kwa kiasi na mke mmoja na mume mmoja, na kila mtu na awe na mke wake mwenyewe sio wake zake mwenyewe. ni pepo la ngono hilo kabisa kulingana na imani yangu . yani ni roho chafu ya kukemea kabisa.
jamaa mbinafsi sana akifika anadandia kama daladala hakuna maandalizi kwa mwanamke inakuwa kero angekuwa na maandalizi hayo yasingefika hapo
Duh Blaki Womani ha ha ha kumbe wewe ukiandaliwa unapiga mzigo.
Nimecheka kwel ila nimekumbuka tukio moja
kuna kijana wa umri wangu huko kijijin alioa na akawa ndo zake gemu kila mda
yule dada alisema kwa mama mkwe wake na wakaitwa wamama wakubwa wakamwambia bint hiyo hal itapungu jins mnavyokaa kwa sasa ugen unamsumbua.
Ila cha kushangaza mziki uleule kila siku.
Yule dada kuona hivyo akatoroka na kurud kwao na kukataa katakata kurudi kwa mme wake
Unasemaje kuhusu simba wa Yuda mfalme Daud na wakeze 600? au mwanae Suleimani? Nao walikuwa na mapepo ya ngono au vipi na ni nani mwingine mbali ya Yesu aliyekipenzi cha mungu zaidi ya Daud? mbona Yesu mwenyewe anajitapa ni mwana wa Daud au ndio na yeye kazaliwa kwa njia za hayo hayo mapepo ya ngono? biblia inasomwa katika ujumla wake sio kudandia mstari mmoja mmoja; hivi kuna nabii mwingine aliyejua sheria kuliko Mussa? mbona ndiye alitoa idhini hiyo? na je Yesu alimtengua Mus
sa? achana na fikra duni hakuna cha imani bali kuna neno pekee kwa kuwa hilo ndilo
liwezalo kumuweka mtu huru.