Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

Yeah ,anahitaji pongezi za wazi kabisa huyu jamaa ,mwenye picha yake atuwekee

Huwa namkubali MTU wa aina hii ,kazi zake ndio zinamuweka front sio wengine mpk wa force
Screenshot_20200804-014411_Instagram.jpg
Screenshot_20200804-014220_Instagram.jpg
Screenshot_20200804-014205_Instagram.jpg
 
Pep gurdiola wa uchambuzi ni kipara ambagile jaama anajua kuchambua kuanzia kiufundi,mbinu,mifumo ya mpira jamaa hachoshii halafu hana mbwmbwe kabisaaa ..halafu ally kamwe kwa soka la mbongo n africa hakuna kama yeye anajua sana

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli Ambangile habari nyingine anakula time yangu sana kwasasa.​
Bora nisiangalie mechi nisubiri tu uchambuzi wa Ambangile wa hiyo mechi.​
Anaujua mpira kama sehemu ya ukoo wake daah​
 
1. Edger Kibwana ( Clouds FM)
2. Mwl Kashasha( TBC FM)
3. Malegesi Nyamaka ( RFA)
4. Oscar Oscar ( EFM)
5 .Mlipili ( RFA)
6. Yahya Njenge ( Clouds FM)
7. Ally Mayai ( Azam TV)
8. Ibrahimu Masoud ( EFM)
9. George Ambagile
10. Shafihi Dauda( Clouds FM)
Maoni ya wadau bwana George ndani ya nyumba
 
Niliwah kumskia Huyu jamaa kipindi yupo Magic FM nadhani. Jamaa anajua sanaa alinichambulia game kati ya Man U Vs Liverpool siku ya ijumaa J2 matokea na mchezo ulaja kama alivypchambua! Daaaah tofauti na hawa wadau wengime wanaJudge baada ya Game..

Apewe tuzo yake.
 
George Ambagile ananikumbusha enzi za Dk Leack, sijui jina lake nimepatia? Huyu Mzee alikua anajua sana akiwa anakuchambulia game za Uefa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom