Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

najiuliza tu ambangile angekua bado magic fm mashabiki mngempigia chapuo namna hii?
ze-dudu wasikilizaji wa magic FM Ni wachache ukilinganisha na Wasafi media Ina watu wengi lazima iwe hivyo ila tukiachana na Hilo George ambangile Ni fundi aisee Wala haitaji maelezo mengi.
 
Uko nje ya topic.
Don Clericuzio Ila mzee unampenda George ambangile wewe uzi nyingi lazima umzungumzie ila kiukwel jamaa yupo vizuri me nilianza kumfahamu kwenye magic FM kunakipindi kilikuwa kinaanza kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 11 na nusu hiko kipindi nilikuwa nakipenda Sana baada ya hiko kipindi ndio kinakuja session ya michezo na george ambangile Mara nyingi nilikuwa naishia saa 11 na nusu jioni so session ya michezo sikuwahi kukisikiliza ila siku moja nilivyoanza kusikiliza ndio nikaanza kupenda uchambuzi wa George ambangile, na tokea nianze kumsikiliza huyu mwamba ndio nikaona napoteza muda wangu bure kuwasiliza wachambuzi average wa sports extra.Na kinachonifurahisha zaidi sasa hivi amepewa muda zaidi pale Wasafi media maana kipindi kina masaa ma3 kuchambua habari za ndani na international wakati akiwa magic FM alikuwa amepewa nusu saa tu za uchambuzi Tena kwenye international tu.
 
George Ambangile ni mchambuzi bora wa michezo (mpira wa miguu) kwa maoni yangu.

Sports Extra ni kipindi bora cha michezo Tanzania, kwa maoni yangu.

George angekuwa Clouds FM angeweza kuwa mile kadhaa zaidi ya alipo.
 
kuna mshkaji wangu alinambia kuna mchambuzi anaitwa George Ambangile yupo Magic FM ndo mchambuzi wake bora kwa kipindi hicho,mi nikaamua kumfata insta nilivyosoma post zake nikaona jamaa mpira anaujua na coment nyingi zilikua za kumsifia.Alipohamia WASAFI FM ndo nikaanza kumsikiliza rasmi na huyu ndo mchambuzi pekee anaenifanya nisikilize mpaka habari za michezo za hapa nyumbani ila hapo kabla nilikua nasikiliza michezo kimataifa tu,itabidi nimfatilie na huyu ALI KAMWE naona humu ametajwa mara nyingi naamini atakua fundi pia.
 
George Ambangile ni mchambuzi bora wa michezo (mpira wa miguu) kwa maoni yangu.

Sports Extra ni kipindi bora cha michezo Tanzania, kwa maoni yangu.

George angekuwa Clouds FM angeweza kuwa mile kadhaa zaidi ya alipo.
Sports extra ni kipindi ambacho kinareport habari za michezo sio wazuri kwenye uchambuzi na me hapo kabla nilikuwa nikiangalia kwasababu tu ya shaffihdauda tu ukitoa shaffihdauda Hakuna mwingine mwenye kujua kufanya uchambuzi kingine zaidi uchambuzi wenyewe wanafanya kidogo Bora ungesema sports HQ kidogo wapo vizuri kuliko sports extra.
 
Unaonaje kila mmoja akibaki na mtazamo wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom